Search results

  1. Kaptula la Marx

    CCM ndani ya Kirumba stadium: Hii ni mbinu ya ushindi

    Makamanda kote nchini. Nimebahatika kujichomekeza ktk kikao cha mawakala wilaya ukumbi AICC kilichoongozwa na mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa Godfrey Mwalusamba,mwakilishi toka Lumumba na Lekule Laiser na haya ndiyo maazimio. -Hali ni mbaya kote nchini,wanazungumza na wasimamizi ili...
  2. Kaptula la Marx

    Haya ndiyo mabadiliko waliyoyapata Zambia baada ya kukiondoa chama tawala!

    Kama Iko hata Chembe ya Mabadiliko, Chembe hiyo itakuwa UKAWA Na Jenerali Ulimwengu Toleo la 428 21 Oct 2015 KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa. Kwa umri wangu na kutokana na uzoefu wangu katika siasa za nchi hii, ninajua kwamba siasa zetu karibu...
  3. Kaptula la Marx

    Haya ndiyo mabadiliko waliyoyapata Zambia baada ya kukiondoa chama tawala!

    Uwe unafanya utafiti kidogo mkuu. Edgar Lungu ni Rais aliyetokana na chama-tawala baada ya Michael Satta kufariki. Alishinda uchaguzi akiwa ni mgombea wa chama tawala. Sasa sijui mfano wako unamanisha Watanzania wasiichague CCM kwa sababu ni chama tawala au la?
  4. Kaptula la Marx

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Wewe ni mhuni tu. Mkate wewe na familia yako. Tuko tayari, popote ulipo tupo #Mabadiliko2015
  5. Kaptula la Marx

    Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    Tume imesitisha na kuwasimamisha wote waliokuwa wanaandaa karatasi za majumuisho ya matokeo ya upigaji kura. Inavyoonekana ni katika mikakati ya bao la mkono. Tume kwa sasa wengi hawaelewani kutokana na baadhi ya wakubwa kufanya mambo waliyoelekezwa na MaCCM tofauti na ilivyokuwa mwanzo na bila...
  6. Kaptula la Marx

    Elections 2015 Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!

    Tume imesitisha na kuwasimamisha wote waliokuwa wanaandaa karatasi za majumuisho ya matokeo ya upigaji kura. Inavyoonekana ni katika mikakati ya bao la mkono. Tume kwa sasa wengi hawaelewani kutokana na baadhi ya wakubwa kufanya mambo waliyoelekezwa na MaCCM tofauti na ilivyokuwa mwanzo na bila...
  7. Kaptula la Marx

    UKAWA wakubali kuwa CCM itashinda kwa Tsunami

    Tume imesitisha na kuwasimamisha wote waliokuwa wanaandaa karatasi za majumuisho ya matokeo ya upigaji kura. Inavyoonekana ni katika mikakati ya bao la mkono. Tume kwa sasa wengi hawaelewani kutokana na baadhi ya wakubwa kufanya mambo waliyoelekezwa na MaCCM tofauti na ilivyokuwa mwanzo na bila...
  8. Kaptula la Marx

    Idadi ya mikutano ya UKAWA iliyohairishwa!

    Makala Kama iko hata chembe ya mabadiliko, chembe hiyo itakuwa Ukawa Jenerali Ulimwengu Toleo la 428 21 Oct 2015 KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa. Kwa umri wangu na kutokana na uzoefu wangu katika siasa za nchi hii, ninajua kwamba siasa zetu karibu...
  9. Kaptula la Marx

    Ni John Pombe Magufuli Urais 2015. Lowasa lazima alale mapema Oktoba 25

    Makala Kama iko hata chembe ya mabadiliko, chembe hiyo itakuwa Ukawa Jenerali Ulimwengu Toleo la 428 21 Oct 2015 KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa. Kwa umri wangu na kutokana na uzoefu wangu katika siasa za nchi hii, ninajua kwamba siasa zetu karibu...
  10. Kaptula la Marx

    Hatimaye mama Maria Nyerere ampigia kampeni Magufuli

    By JUMA MWAPACHU Wapenzi marafiki zangu, UKAWA na wafuasi wa Lowassa. Tuna siku tano zimebaki kabla ya kufika siku ya uchaguzi wa hatima ya maisha yetu. Sote tumehamasika na kujawa na nguvu kubwa ya kupiga kura ili kuitoa CCM madarakani. Azimio na msimamo wetu ni kubadili serikali ambayo...
  11. Kaptula la Marx

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

  12. Kaptula la Marx

  13. Kaptula la Marx

    Hakika Magufuli ni Chaguo la Mwenyezi Mungu

    Hizi ndio zilizofichuka Mbona MACCM mnashikwa na wendswazimu kabla hata ya KURA kupigwa 25 Oct.2015? Uadilifu wa Magufuli uko wapi! Ametelekeza Mke na kudunda na vimada na kuwapatia Nyumba za serikali kwa dezo huo ndio UADILIFU? Ameacha watoto wanaokota kuni za kupikia MBWA huo ndio...
  14. Kaptula la Marx

    Huzuni kuu ya CHADEMA baada ya tarehe 25 Oktoba

    Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii. Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia. Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba...
  15. Kaptula la Marx

    Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

    Hakuna cha kuwapa watu homa. Kama ni homa labda anakupa wewe. Upuuzi wowote lazima tuujibu, hatuwezi kuacha kujibu. Ndio maana hata wewe ukiandika upuuzi kama wako huu tunakujibu. Humu JF watu wengi wana akili zao na misimamo yao kabisa, na wala sio watu wa kuyumba kama unavyofikiria. Kwa hiyo...
  16. Kaptula la Marx

    Ratiba ya mgombea urais CHADEMA, Edward Lowassa, Majimbo ya Mkoa wa Mbeya

    Giambatista Vico Kwa upande wangu ,sijui wengine ! Ni kwamba CCM tayari imeshapoteza uchaguzi huu na mshindi ni Ukawa Chini ya Lowasa. Sababu kuu ninayoiona ndio iliyoizamisha na kuiangamiza CCM, sababu ambayo ni kama CCM imefungwa mawe na majabali ya miguu kisha ikatumbukizwa au kutupwa...
  17. Kaptula la Marx

    Onyo kwa viongozi wa siasa hasa wa UKAWA, msituletee shida, watanzania ni wamoja

    CCM walianza kumpiga vita Lowassa tangu alipokuwa ndani ya CCM na baadaye alipojiunga na CHADEMA ili kuwa mgombea wa UKAWA kwa kutumia sababu ya Ufisadi. Lakini karata hii ikajibiwa kiufundi na Lowassa mara baada ya kutoka CCM na hivyo kuwafanya wananchi waone kwamba anaonewa bure kwani kama ni...
  18. Kaptula la Marx

    Lowassa amewahonga na hawa?

    CCM walianza kumpiga vita Lowassa tangu alipokuwa ndani ya CCM na baadaye alipojiunga na CHADEMA ili kuwa mgombea wa UKAWA kwa kutumia sababu ya Ufisadi. Lakini karata hii ikajibiwa kiufundi na Lowassa mara baada ya kutoka CCM na hivyo kuwafanya wananchi waone kwamba anaonewa bure kwani kama ni...
  19. Kaptula la Marx

    Kauli mbiu ya CCM na utekelezaji wake ndio chachu ya ushindi wa Magufuli

    CCM walianza kumpiga vita Lowassa tangu alipokuwa ndani ya CCM na baadaye alipojiunga na CHADEMA ili kuwa mgombea wa UKAWA kwa kutumia sababu ya Ufisadi. Lakini karata hii ikajibiwa kiufundi na Lowassa mara baada ya kutoka CCM na hivyo kuwafanya wananchi waone kwamba anaonewa bure kwani kama ni...
  20. Kaptula la Marx

    Kumchagua Lowassa ni kuendeleza utawala wa Kikwete

Back
Top Bottom