Search results

  1. T

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Unajua kuchoka sasa mimi polisi wa tz ndio nimewachoka bora tuishi kama wanyama yani kama simba akiwahiwa na mbwa mwitu analiwa kuliko kuwa na sheria zinazowalinda watu flan hii sheria kisu sio msumeno na siku tukifanikiwa kuigeuza ikate upande wao wataishi kama idi amin dada pumbavu
  2. T

    CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

    unajua naona mnashindwa kujua mwanzishi wa mada anajua chadema ndio saizi wake ccm lakini ccm hawatambui shida za walala hoi ndio maana analazimishwa kutambua chadema kocha ccm wachezaji wanapewa mbinu za kupambana na umasikini hawataki "hii game wamepotea''
  3. T

    Katiba Mpya chini ya saa 100!

    Unajua mtu anekuuchokoza na kukuangalia utafanya nini ni serikali yatu ndivyo inavyofanya hivi wao hawajui watu wanadai katiba kwa sababu ya matatizo gani yaiyoko kwenye katiba? mpaka mambo ambayo ni muhimu kuyajadilii kwenye katiba wao ndio wanaema hayajadiliki hii kali na haya ni malekebisho...
  4. T

    Katiba Mpya chini ya saa 100!

    CCM walijenga nchi chiini ya uongozi wa Mwalimu Nyerere na sasa tunakoelekea ni kuibomoa sababu wanataka kuwafanya watu kuwa hawana elimu ya kujitambua wao ni wakina nani katika nchi yao na ndio maana wanatufanyia haya hivi hii katiba ni ya kwao! mimi nahisi ni mali yao na ndiyo maana hawataki...
  5. T

    Wabunge 10 wa chadema

    Mskaji mimi nakukubali sana kuhusu wabunge wa Chadema kutoka nje ya bunge najua ukiizungumzia hii hoja inaonekana umechelewa lakini ngoja. Unajua hawa wabunge wengine wa chadema hawaoni mbali kuwa kupata kura nyingi Dr. Silaa kungesaidia wabunge viti maarum kuongezeka upande wa Chadema na...
  6. T

    CCM wangetenda haki kwa watanzania haya yasingekuwepo

    CCM wangetenda haki kwa watanzania haya yasingekuwepo haya ndiyo matunda ya kuiba kura za wananchi au (kuchakachua) sasa ona wanashangaa nini kuhusu wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya bunge kama ulimzurumu mtu haki yake ujue ipo siku ataidai tu. sasa watanzania halisi wanoipenda tanzania wanataka...
  7. T

    hawa ccm

    hawa CCM wananini hivi unadhani CHADEMA wajinga kumkataa KIKWETE hata kama umeshinda kwa kura chache basi onyesha ukweli na sio kufuata ujinga mwingine sasa yanamtokea puani wabunge tumewachagua sisi na kama wanayoyafanya ni kwa ajili ya manufaa ya umma basi yaendelee wanaponifurahisha CHADEMA...
  8. T

    Hodi hodi jamani

    Habari zenu, nabisha hodi naomba mnikaribishe JF
Back
Top Bottom