Search results

  1. njiwamanga

    Tb Joshua kaombea Tanzania?

    Leo nimeona bendera ya nchi yetu kwenye ibada ya TB Joshua,je kaombea nini? Mwenye kujua atujuze.
  2. njiwamanga

    Chadema tangazeni tenda ya bendera na magwanda kwenye oparesheni vgvg na m4c

    Hakika yapo mambo ambayo yanafanyika kwa mbwembwe lakini ukiyaangalia kwa makini yanakosa mashiko.Hii opareshen ni ya kwenye media tu?mbona hatuoni watu wakipewa bendera wanazoomba ili zipeperuke nchi nzima?Au kuna ufisadi na ukiritimba ndani ya CDM wa kutoa bendera na gwanda? Oparesheni inaitwa...
  3. njiwamanga

    Halima Dendegu: Mkuu wa wilaya nne

    Hivi unajua kama mwanamama huyo anatawala wilaya nne za Kilosa,Morogoro manispaa,Morogoro Vijijini na Mvomero? Toka JK apangue wakuu wa wilaya mpaka sasa bado anayezitawala wilaya hizo ni huyo mwanamama. Je, hakuna wengine wa kumsaidia? Kwanini iwe yeye tu?
  4. njiwamanga

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Nimetuma thread inayoeleza na kuondoa utata juu ya nani mwasisi wa hoja ya kuondoa posho za wabunge kwani wapo wanaosema ni mpango wa maendeleo wa miaka mitano wengine wanasema ni Zitto Kabwe.Lakini naona imefungwa kwani haionekani.Lengo langu ni kuonesha jinsi mawazo ya Dr Slaa na ahadi zake...
  5. njiwamanga

    Posho za Ubunge nazo zifutwe

    Nimeshangaa sana kusikia eti kuondoa posho kwa wabunge ni hoja ya serikali ya ccm kupitia mpango wa maendeleo wa miaka 5.Watanzania ni wepesi kusahau kwani Dr Slaa alishaahidi ktk kampeni.Kuweka suala la posho kwenye mpango huo ni kutekeleza ahadi za Dr Slaa kwa mlango wanyuma. source:soma...
  6. njiwamanga

    CHADEMA + CUF: Maandamano ya kitaifa

    Ninaunga mkono maandamano hayo na tena kauli ya mwisho rangi nyekundu ina mantiki kubwa mno.Ifike mahali tusisubiri wala kukubali uongo na visingizio vya kupinga maandamano.Vyama vyote vya upinzani na wanaharakati wote tushiriki maandamano
  7. njiwamanga

    Tulikwenda kupigana msumbiji kama nani!!

    tulikwenda ili kuikomboa africa
  8. njiwamanga

    Hotuba ya chadema ya kila mwezi

    Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?
  9. njiwamanga

    Uteuzi Mkurugenzi wa TBC, Katibu Mkuu na Naibu Makatibu Wakuu

    Tido Mhano yuko wapi kwa sasa?namba nijuzwe
  10. njiwamanga

    JK ataweza moto wa katiba na chama?

    Amechokoza kujivua magamba ndani ya ccm wakat moto wa katiba tayar umewashwa.Je ataweza kumudu?Au nchi itamshinda?Ana ubavu?
  11. njiwamanga

    Taarifa zangu za kiinteligensia kwa Kikwete na viongozi wote

    wapumbavu ni sisi watz hatuhukui hatua yoyote
  12. njiwamanga

    Dawa ya kutibu polisi katika maandamano

    Ili demokrasia ya kutoa maoni kwa njia ya maandamano isiingiliwe na jeshi la polisi imegunduliwa dawa.Dawa hiyo ni kuwa iwapo polisi wataingilia maandamano na kupiga,na kuua watu ktk maandamano basi jamii na hasa vijana walipze kisasi kwa familia au ndugu zao ambao wapo uraiani kwa kuwafanyia...
  13. njiwamanga

    Pinda amuumbua Kikwete

    Mussa Mwangoka, Sumbawanga Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameliangukia Kanisa Katoliki nchini, akiomba radhi kutokana kashfa zilizotolewa kwa kanisa hilo wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Pinda aliomba radhi jana mbele ya viongoizi wa madhehebu mbalimbali ya dini kwa niaba ya...
  14. njiwamanga

    Pinda amuumbua Kikwete

    Changieni basi habari za Pinda kwenye MWANANCHI ya leo
  15. njiwamanga

    Pinda amuumbua kikwete

    "Hali hiyo siyo ilijitokeza tu Sumbawanga... najua tulimkwaza Mhashamu Baba Askofu (Damian Kyaruzi), tumekejeli imani ya dini yake, tunaomba radhi, mimi naomba radhi kwa niaba ya CCM na Serikali si hapa tu, lakini ni maeneo mengi nchini kama vile majimbo ya uchaguzi ya Hai na Same ambapo baadhi...
  16. njiwamanga

    Hii Mifuko ya Hifadhi ya Jamii umefika wakati wa kumjali mteja

    Hii mifuko na mingine ya namna hii inatumika kuwanufaisha mafisadi walioianzisha.mnaonaje iwekewe mfumo mzuri uso wa kinyonyaji kwenye katiba mpya? NAWASILISHA
  17. njiwamanga

    Athari za Kupandisha Bei ya Umeme: Logic

    Hii ni fursa nyingine ya kuing'oa ccm,nadhani hapo tutaona akili za wanaccm kama ni "matabulalasa" au la
  18. njiwamanga

    Hivi JK utaacha lini kutudharau watanzania ambao ni maboss wako?

    Ataacha baada ya katiba mpya ambayo itapunguza madaraka yake na kuweka vipegele vya kumwajibisha
  19. njiwamanga

    Makamba akataa CCM kukutana na Chadema

    CHADEMA pokeeni kwa mikono miwili ya furaha ushauri wa makamba wa kuongea na watu wengine na si ccm hivyo nendeni kwa wananchi.njooni kwetu tutoe maoni yetu.makamba atajuta kwa kauli yake
  20. njiwamanga

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Mwambie JK asitupelkee kubaya kwani udini ameufanya muda mrefu angalia alio wateua asilimia 90 ni wa dini gani?
Back
Top Bottom