Search results

  1. Bingwa wa hoja

    Tutafakari kwa pamoja tunahitaji katiba ya namna gani

    It seems kijana Nova Kambota umebadilika sana siku hizi kwa maana wewe si ndio kale kajamaa kalikokuwa kanajidai kuwa kalisoma ilboru halafu kakawa kanapotosha watu kwa kuwa kashabiki ka mafisadi CCM, halafu kakawa kanaponda JF na CHADEMA kupitia blog ya www.novadream.blog.com sasa kama...
  2. Bingwa wa hoja

    Inauma sana ilboru special school

    Wapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza computer...........naililia ilboru
  3. Bingwa wa hoja

    hoja ya katiba mpya ibebe utaifa kuliko siasa

    Dalili nimeanza kuziona kuwa yapo makundi mblimbali ya watu wanaopigania katiba mpya lakini hofu yangu ni kuwa mjadala huu umeanza kupoteza maana kwani CHADEMA wamekuwa wakiufanya kama mtaji wa kuiadhibu CCM badala ya manufaa ya taifa zima hapa kuna hatari kubwa kwani huku si kujenga tena ila ni...
  4. Bingwa wa hoja

    Kwa nini JK Alishtuka na KUSHANGAA Sana PINDI Wabunge wa CHADEMA Walivyotoka Bungeni

    Kilichotabiriwa tumekiona na tulichoandika kimedhihirika , hii ni baada ya wale wanaojiita wanazi wa chadema wanaoishi ulaya kukaa kimya kuhusu mgawanyiko wa chama chao katika sakata la kususia hotuba ya JK.............sasa nauliza wako wapi mamluki hawa wa CHADEMA?
  5. Bingwa wa hoja

    Sharif Hamad adondosha chozi...!

    Zanziba hakuna mshindi wala mshinda bali ni ushindi wa wazanzibar wote mwingine ni umbeya na upuuzi hakuna zaidi ya hili wazanzibar hatutaki uchokozi wala uchochezi.
  6. Bingwa wa hoja

    Yuko wapi Mamluki James ole MILYYA?

    teh teh teh! JF tunajadili hoja sio uzushi na tetesi bana hizo zina sehemu yake mkuu sio humu
  7. Bingwa wa hoja

    Naililia Iramba na umaskini wake!

    teh ! teh! teh! kikwete kashinda bana ndo hivyo tena vumilia tu kaka jk ni moto chini 2010-2015
  8. Bingwa wa hoja

    Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon!

    ah ah ah! naona CHADEMA wamekubali kuwa padre mwasi Dr slaa kwisha kazi kachapa mweleka labda ajipange tena JK sio size yake hata kidogo..
  9. Bingwa wa hoja

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    why? kwanini?............watu pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
  10. Bingwa wa hoja

    Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

    Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi...
  11. Bingwa wa hoja

    Elections 2010 Kwa hili surely chadema wamepotoka au wamepotea njia

    Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi...
  12. Bingwa wa hoja

    Adolf hitler and his living philosophy

    Think of it once Adolf Hitler stated that ....necessity knows no law...........i think this is the living philosophy that ever came out of Hitler's mouth............real necessity knows no law...ponder it out, think wise, do you see the logic? if not now when? and if not me who?
  13. Bingwa wa hoja

    Kumlinganisha Mrema wa 1995 na Dr Slaa wa 2010 ni sawa na nuru ya Mwezi vs ya Jua

    Kulikuwa na NCCR-MAGEUZI ya Mrema imepita, ikafata CUF ya Lipumba nayo ikapita hivyohivyo, wanachadema kaeni chonjo huu tunaouona sasa sio upinzani wa chadema bali mwanzo wa mwisho wa CHADEMA ya Dr slaa, mambo kujirudia ni kanuni ya historia huwa haikwepeki hata siku moja...
  14. Bingwa wa hoja

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    ..........kwangu mimi nikihusanisha hoja kama Edwin Mtei ni muanzilishi wa CHADEMA halafu kaboronga basi hili lina athari kwa CHADEMA yote kwa maana hata samaki akioza basi wote wameoza kwanza CHADEMA ijisafishe kwa hili........... ....................Amin's limited education could not fathoom...
  15. Bingwa wa hoja

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    Ni wazi kuwa Edwin Mtei hakufanya uamuzi sahihi kumpa ushauri mbovu kama ule Mwl Nyerere and good enough Nyerere alikuwa anaona mbalimbali alishasoma alama za nyakati akakataa lakini kinachonisikitisha ni baadhi ya watanzania ambao kwa sababu zao za kisiasa wanataka kirahisirahisi kwa hoja dhaiu...
Back
Top Bottom