Search results

  1. E

    Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

    Cha msingi tumpe nafasi Mh Rais aweze kutimiza malengo ya kitaifa kwa kufanya teuzi zitakazo mfanya asonge mbele
  2. E

    Tufundishe vijana wetu utaalamu wa kuongea kama Rais Samia Suluhu

    Ni kweli, Lugha nzuri hufikisha ujumbe kwa haraka sana
  3. E

    Mgogoro wa Ardhi shamba No 7 Mambegwa-Kilosa ni bomu linalotoa Moshi

    Kuna taarifa zinazoenea kuwa, wakulima waliokuwa wakimiliki mashamba katika shamba namba saba lililopo ktk kijiji cha mambegwa wilayani kilosa kunyang'anywa mashamba yao. Ingawaje wakulima hao walipewa mashamba hayo kihalali mwaka 2009 yakiwa ni mapori na misitu minene, lakini inasemekana kuna...
  4. E

    Waziri Mh Lukuvi, Kamata kamata ya Wakulima ktk Shamba namba 7 ktk kijiji cha Mambegwa Kilosa inaumiza wakulima

    Ndugu wana bodi Kumekuwa na kamata kamata ya wakulima wanao lima shamba namba 7 ambalo lipo ktk kijiji cha Mambegwa wilaya y Kilosa. Inasemekana kuwa shamba namba saba amepewa muwekezaji mwaka 2015,na amepewa karibia ekari 1300. Cha kushangaza ni kuwa, wakulima wao wanasema waligawiwa mashamba...
  5. E

    The Daring and Bold Magufuli

    Ni kweli UTHUBUTU ni njia sahihi ya kutekeleza jambo bila ya kuweka hofu ya kufanikiwa au kutofanikiwa. Na matokeo ya UTHUBUTU huwa ni yenye matumaini sana kwani hukusaidia kutekeleza jambo ambalo kila anayekuzunguka anakuwa analitilia hofu. Nchi nyingi zilizo endelea zimetumia sana hii dhana ya...
  6. E

    Natafuta spare part ya Gari

    Wadau Habari za Majukumu.Samahani natafuta Gearbox cover ya Mazda Titan Dash
  7. E

    Upatikanaji wa PASIPOTI MPYA kwa watanzania wanafunzi nje ya Tanzania

    Ndugu wa Tanzania mimi nina ombi kwa Idara ya uhamiaji Tanzania Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza uongozi mzima wa idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanya. Kiukweli Idara hii imekuwa ikitoa pasipoti mpya ndani ya wiki moja hadi mbili pindi tu utakapokuwa umetimiza vigezo na...
  8. E

    Barua ya wazi kwa m'kiti wa Chama Cha Wananchi - CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

    Hongera mtoa post kwa kuusema ukweli,ambao huchelewa tu kufika lakini kikawaida huwa ni lazima ufike hata kama utacheleshwa. Halikuwa jambo la kawaida kwa CUF kupokea pesa ambazo unasema mlizitumia kwa mkutano Mkuu.Hii inaonyesha kuwa CUF haipo kushindana bali kusindikiza na kukubaliana na kila...
  9. E

    Kutoka Maktaba: TAKUKURU yataja mtuhumiwa wa sare hewa za bilioni 40

    Baadhi ya viongozi wetu hawasomi na yawezekana hawaelewi utaratibu mzima wa utendaji kazi wa CAG, Tuhuma za sare za polisi zilisemwa na Mh Raisi na CAG ametimiza wajibu wa kufanya ukaguzi kama alivyo ombwa. Ili takiwa waziri husika ktk hili ajikalie kimya kimaadili,kwa sababu hili ni jambo...
  10. E

    Nguvu ya Maandamano: Baraza la Mawaziri nchini Mali lajiuzulu

    Waziri mkuu wa Mali amejiuzulu yeye na serikali yake yote. Soumeylou Boubeye Maiga, alijuzulu kufuatia shinikizo kutoka kwa wabunge aondoke madarakani kwa kushindwa kuzuia mauaji ya zaidi ya watu 160 wa jamii ya Fulani waliouawa na watu wanaodhaniwa kutoka kwa jamii hasimu ya Dogon. Rais Ibrahim...
  11. E

    Nyerere: Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake na udhaifu wake unatumiwa vibaya...

    Kwa upande wangu niungane na maandiko ya baba wa Taifa letu,kuwa udhaifu si tusi,ni neno linaloelezea mapungufu ambayo yapo kwa binadamu na mapungufu hayo kikawaida yanaweza rekebishika. Kwa swala hili la CAG na Bunge yawezekana kuna Zaidi ya hiki tunachokisikia,kwani imekuwa si kawaida kwa...
  12. E

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Ingekuwa ni nchi za Ulaya, mpaka sasa bunge lingekuwa limevunjwa.
  13. E

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Muda mwingine ni bora wasomi kuwaachia Nchi hao wanaodhani ni werevu zaidi ya wengine na kwenda kufanya kazi nje ya nchi,ili kuondokana na haya mambo ya kulazimishana ufanye kile usicho kiamini.
  14. E

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Nakumbuka miaka ya nyuma,neno kama hili lilitumika kumsema kati ya hawa marais wastaafu na bunge halikuweza kuja juu,ila bunge linapoguswa na neno lile lile lililotumika kuusema mhimili mwingine wanakuja juu na kukataa kufanya kazi halali zinazowasilishwa na ofisi ya CAG.Tatizo lipo wapi wajuzi...
  15. E

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Mkuu Paskali ningependa kufahamu kuhusu huu ukaguzi unaofanywa na ofisi ya mkaguzi Mkuu wa serikali, je report zile zina mambo ya kifamilia yanayomhusu mkaguzi au zina mambo ya kitaifa? na je Bunge linapogoma kufanya kazi na CAG ni nani anayekomeshwa hapo? ni CAG au ni Taifa? Lakini, kwa uelewa...
  16. E

    CCM tafuteni mbinu nyingine ya kutawala

    Kwa serikali nyingi za kiafrika kama msimamizi wa uchaguzi angekuwa ni malaika,upo uwezekano mkubwa wa Serikali zilizopo sasa zisingekuwepo madarakani. Ila kwa Tanzania, chaguzi zinazohusu wabunge hapo pana mnyukano mkubwa
  17. E

    ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Sina hakika kama umesoma na kuelewa kilichoandikwa na mtoa mada,lakini pia sina hakika kama umesikiliza kilichosemwa leo na viongozi wa ACT,nadhani unahitaji kufuatilia na kujifunza Zaidi Lakini pia haya mambo ya kusema kuwa kurudia kosa ni ya kizamani wakati uleeeee,siku hizi mwiba...
  18. E

    ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Nimemsikiliza Mh Zitto, anasema,hata hiyo barua yenyewe toka kwa msajili wa vyama,imeanzia mitandaoni kwanza kabla ya kuwafikia waliokusudiwa.Sasa unaweza changanya na zako kabla hujawatuhumu ACT
  19. E

    Hali ya hewa: Mvua zitakuwa chache hivyo wakulima walime mazao ya muda mfupi

    Hii inatuonyesha kuwa,kilimo cha kutegemea matone ya mvua,si cha kukitegemea sana, ni wakati kama Taifa kuwekeza Zaidi ktk kilimo cha umwagiliaji, kwani tunayo mikoa ambayo ina mito na maji mengi na hata Ardhi za maeneo hayo inafaa sana kwa uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji. Lakini pia,hii...
  20. E

    Otafiire message to Bobi Wine leaves the nation in shock

    Naam, niliangalia wakiwa moja kwa moja toka Arua,ule umati ulikuwa mkubwa sana na nilipenda wanavyo wahamasisha vijana kijiandikisha ili waweze kupata kadi za kupigia kura, na hata alivyo simama Bob wine kuongea,unawaona vijana walivyo watulivu wakisikiliza jambo toka kwa mtu wanao mwamini. Kama...
Back
Top Bottom