Search results

  1. G

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Na mimi nilikuwa nazungumzia hizo tarehe. Mchungaji amesema ni tarehe 26/6 ambayo siyo siku ya jpili kama ulivyoainisha - Lakini haichangaji. Ndiyo maana nikakwambia kwamba siyo lazima iwe jpili kwa sababu pale kuna huduma muda wote. Labda hujaelewa maana ya huduma - ni kwamba wakati wote ni...
  2. G

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Ufufuo na uzima kuna huduma 24 hours pale. Kuna pia ibada za kati ya wiki na jpili. Usiku na mchana wanapatikana.
  3. G

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Si kweli labda hawajasikia vizuri. Tarehe iliyotajwa ni 26.
  4. G

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Ilikuwepo kwenye U tubu muda sasa. Ametusaidia kuturahisishia.
  5. G

    Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

    Siku moja jioni nilikuwa nikiangalia televisheni nikaona mbunge mmoja anachangia kwamba hata tukiwapa bendera yetu kuitumia kuna ubaya kwani na sisi ni watanzania tuna haki ya kutumia bendera ya Tanzania. Sikuelewa vizuri. Leo nimeelewa sasa.
  6. G

    Naachika kila siku

    Inawezekana utakuwa na nguvu za giza zinakufuatilia ili usiwe na mahusiano yoyote na wanaume. Jitahidi kushughulikia tatizo hili. Kama ni mkristo nenda kanisani kwa ajili ya ushauri na maombi.
  7. G

    Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    Inashauriwa tujitahidi kufuatilia maisha yetu ya huko nyuma toka hujazaliwa, makuzi yako, matatizo mbalimbali tuliyopitia na kadhalika. Kumbukumbu hizi hubaki ndani na matokeo ni kwamba tunapata maumivu ya ndani japo hatuwezi kuyaona au kuyasikia. Ukiipata histotoria ya maisha yako nenda kwa...
  8. G

    Mwakyembe je wajua? Watu wanapanda ATCL kwa 50,000Tsh.DAR/MWZ,DAR/JRO

    Pia complimentary ni nyingi zinatolewa.
  9. G

    Mwakyembe ageukwa

    Kumuita majina yaliyosababishwa na ugonjwa aliokuwa akiugua si sawa jamani. Jina lake linajulikana kwa nini hatumu'address' kwa jina lake? Mlitaka asifanye mabadiliko huo uchunguzi ungefanyikaje wakati wanaochunguzwa bado wako vitini? Mbona Kigoda amefanya mabadiliko hamkuongea. Acheni...
  10. G

    Serikali yamgwaya Lema

    Acheni uchonganishi! Kwa nini mnataka kuendeleza mambo kwa kujibishana? Ikulu kaeni kimya ni bora kuliko kujibishana ili sijui iweje? Never argue with................ Msitafute mshindi.
  11. G

    Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

    Hujaelewa, ana maana Dar ni ya CCM. Huyo ni Gamba.
  12. G

    Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

    Chokochoko hii ya Shibuda si bure! kuna jambo. CDM wanyamaze, akiona kimya atatafuta kingine. Kuna wakati atabogi step tu.
  13. G

    Mapishi ya Samaki Wabichi Chukuchuku

    Mapishi ya Samaki Wabichi Chukuchuku Samaki wabishi wawili Kitunguu saumu kimoja Kitunguu maji kimoja Nyanya mbili kubwa Tangawizi kidogo Ndimu mbili Pilipili ndefu (nyekundu) moja Chumvi half teasp Maji vikombe vitatu Safisha samaki vizuri na kama ni wakubwa kata vipande viwili Menya kitunguu...
  14. G

    JK amewapata wapi 'WASAFI'?

    Na iwe hivyo!
  15. G

    Kashfa nzito: Malipo hewa kwa wabunge na ubadhilifu wa pesa bungeni waanikwa na CAG

    Hizi pesa zimelipwa na ofisi ya Bunge kama masurufu. Masurufu baada ya kutumiwa huwa unaretire/settle kwa risiti. Kama wafanyakazi wa Bunge au hata wabunge wamepewa masurufu hayo ofisi ya Bunge ndiyo inatakiwa iwakumbushe ku'retire'/settle masurufu yao kutokana na risiti zinazoonyesha matumizi...
  16. G

    WaKenya wazidi kuvamia ajira Tanzania

    Sijui kama Immigration na Labour Office zinafanyakazi. Wanatakiwa wawe na valid Work Permits na pia Labour wajiridhishe kwamba hakuna mtanzania anayeweza kufanya kazi hizo. Mkifuatilia wanaingia tu na kuanza kazi kiholela. Ni wachache ndiyo wenye documents husika.
  17. G

    Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

    Wewe unataka wapeleke polisi kwenda kusearch kule ofisini sasa. Wanaweza pia wakatuma watu kuchoma moto. Mnaficha hizo documents ofisini hamuoni ni hatari? Chchote kinaweza kufanyika.
  18. G

    Wazee waichagua CHADEMA Arumeru Mashariki

    Hongereni CDM, lakini mjue CCCM wataendeleza vikao ili kubaini makosa yao yalikuwa wapi na kuyarekebisha. Toka lini wakajirekebisha. Jeuri ya pesa mbaya sana. Wanashauriwa lakini hawataki kusikia. Wenzao CDM wanawafuata wataalam wa siasa (wasomi) kutafuta ushauri na kuona wapi...
  19. G

    Pumzika salama mdogo wangu rose

    Pole sana. Mshukuru Mungu!
Back
Top Bottom