Search results

  1. K

    Watu wanne wanashikiliwa na Polisi Mkoani Geita kwa tuhuma za mauaji ya Alphonce Mawazo

    Propaganda at its best again. Huko Geita walilipua kituo cha polisi na kuwauwa polisi kadhaa wakaja kutuambia wamekamata bunduki makaburini na watuhumiwa. Mpaka leo hatujaona mtu akipandishwa kizimbani kujibu tuhuma kama wa Stakishari walivyobandishwa. Yote haya ni kupata sympathy kwa jamii...
  2. K

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Ni dhahiri kabisa Mhe. Magufuli hajui matatizo ya watanzania kwa kusema ni masuala ya boda boda na mama ntilie. Kweli Mhe. imepita siku zote tangu uchukue form na hadi kuteuliwa hujui watanzania unaotaka kuwaongoza wana matatizo gani. Sikuskia mambo muhimu yote ambayo wanahangaika nayo zaidi ya...
  3. K

    Dr. Magufuli, tafadhali badili hotuba

    Ni dhahiri kabisa Mhe. Magufuli hajui matatizo ya watanzania kwa kusema ni masuala ya boda boda na mama ntilie. Kweli Mhe. imepita siku zote tangu uchukue form na hadi kuteuliwa hujui watanzania unaotaka kuwaongoza wana matatizo gani. Sikuskia mambo muhimu yote ambayo wanahangaika nayo zaidi ya...
  4. K

    Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

    Ni dhahiri kabisa Mhe. Magufuli hajui matatizo ya watanzania kwa kusema ni masuala ya boda boda na mama ntilie. Kweli Mhe. imepita siku zote tangu uchukue form na hadi kuteuliwa hujui watanzania unaotaka kuwaongoza wana matatizo gani. Sikuskia mambo muhimu yote ambayo wanahangaika nayo zaidi...
  5. K

    Aliyewahi kuwa Waziri (Arcado Ntagazwa) kizimbani kwa utapeli

    Na pia DPP Feleshi (mtu wa mamvi na kawekwa na mamvi) mpuuzi sana kwa kuchukua civil case baina ya NGO na kampuni na kuifanya criminal kwa dhana potofu na ya ulafi wa kupewa hela, yeye na ma polisi wa kanda kina Msangi wa pale Sentro. DPP badala ya kuhangaika na kesi za mafisadi wanaotafuna...
  6. K

    Aliyewahi kuwa Waziri (Arcado Ntagazwa) kizimbani kwa utapeli

    Nakubaliana na wewe mia kwa mia, ila huyo mtoto wa mamvi ndio alieyeenda kusema kwa Mamvi na RA ya kuwa hizo fulana ni za kuwakashifu mafisadi na ndio wakaenda kutoa magazetini na mfadhili akajitoa. So, RA na magazeti yake yawajibike....pamoja na Mamvi. Kimbunga kinakuja!
  7. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Goli la kusawazisha wakosa Simba.... Asiyekubali kushindwa si....
  8. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Bora Yondani angevaa jezi ya kijani....sijaona mchezaji mnazii kama yule....sasa kujiangusha pale ili iweje.....sijui kapewa bei gani
  9. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Nsajigwa a-retire kama Capt. wa Taifa Starz yule wa Mtibwa aliye kocha....choka mbaya...na tena kapata jiko sasa hivi...
  10. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Yanga wakikoswa koswa Prezidaa Batalanda kimya.....
  11. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Mafisango ana koa free header....mabeki yanga wamechoka...hamna mtu ameruka nae
  12. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Mpira hautulii kabisa miguuni sijui tatizo ni nini.....namna gani Mgosi hapa...
  13. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Tatizo letu tukiambiwa unasema zalau....sawa Kova...mria mzuri kweli!!
  14. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Hivi tatizo la viungo kupenyeza mipira au kujenga formation ni tatizo sugu tanzania....kama umeme wa Ngeleja vile....huwezi kufunga kwa kumpa #9 mpira ya kujaza maji maji kama vile....unawachosha wenzako tu...foward hawezi kucheza mpira kampa beki mgongo na goli analotakiwa kufunga
  15. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Mwape kichaa kabisa...
  16. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Jamani kwa mpira huu tusitegemee timu ya taifa kufanyaa maajabu....kwa kweli tuna safari ndefu ila twaga kwa kujikongoja....Twiga Stars are much better
  17. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Uli na Mgosi muda wao umeisha waenda ile timu ya Muscat wakamalizie career kule......
  18. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Yanga wana bahati sana mtoto Kazimoto kuumia.....ile mashine balaaa!!
  19. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Haya wakuu vipi...Mhe Balatanda na viongozi wengine waandamizi nimewasili....natangulizi shukrani!!
  20. K

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Balantanda for President....na watangazaji wengine wote wapate u-waziri...
Back
Top Bottom