Search results

  1. M

    Kumbe Mama mkwe!!

    :alien: mmmmmmmmmmmh.sema na wewe una matatizo yako bwana.siku nyingine utamshika housegirl useme umepitiwa.au sio wadau???????????????????????????????????????????
  2. M

    Wivu!!!!

    bila wivu hakuna upendo na bila upendo hakuna wivu.vyote vinategemeana.that is they depend on each other.i mean the existence of one variable lead to existence of the other.ie. the existence of love lead to existence of jealous without love no jealous and without jealous no love. that...
  3. M

    Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    si unaona eeeeh, hiyo ni ushahidi tosha kuwa yote hayo ni tamaa tu
  4. M

    Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    jamani, kama mtu hatosheki si amng'ang'anie mwenzie hadi atosheke, paparax2 za nini? Jamani mabucha mengi nyama ile ile mwishowe mtaibuka na maradhi mbaki mnajuta
  5. M

    Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    mweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. M

    Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ROSE, Kama ni suala la kutosheka si mtu atoshekee kwa mkewe au mumewe au mpenzi wake? hiyo ni tamaa tu bwana hawana lolote!
  7. M

    Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

    NAWEZA KUSEMA HUYU JAMAA NI MPUUZI TENA SANA.INAHUSU NINI KUKUTISHIA WAKATI MLISHAACHANA? AU HUYO ALIYEMUOA ANAMUONA MWANASESERE? KWANZA ANAONEKANA HANA REAL LOVE.ANGEKUWA NAYO ASIINGELEA KUHANGAIKA.<br>DAWA YAKE NI KAMA WALIVYO SUGGEST WENZANGU:<br>1. &nbsp;TOA TAARIFA POLISI INCASE OF...
  8. M

    Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

    Naweza kusema huyu jamaa ni mpuuzi tena sana.inahusu nini kukutishia wakati mlishaachana? Au huyo aliyemuoa anamuona mwanasesere? Kwanza anaonekana hana real love.angekuwa nayo asiingelea kuhangaika. Dawa yake ni kama walivyo suggest wenzangu: 1. Toa taarifa polisi incase of anything 2...
  9. M

    Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo; Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi???????????????????? ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni uroho tu? naomba michango yenu wandugu
  10. M

    Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yagaragazwa Bungeni

    Hakika wabunge wengine wanataka kuwaona wananchi kama majuha kuwa hawajui chochote wakati wao ndio majuha wakubwa. haipiti bajeti hapa hapendwi mtu.
  11. M

    Hvi wanaume wanaakili gani???

    Kwanza nampa pole sana huyo dada. Pili nampa hongera kwa moyo wa huruma alionao wa kutotaka kuwaambukiza watu wengine kwani angeamua kufanya hivyo laana ya familia nyingi za wanaume wasio waaminifu zingemrudia. Mungu aendelee kumpa moyo huo huo. Kuhusu akili za wanaume nadhani wote wanakuwaga...
  12. M

    Elections 2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

    HAPPY B.DAY MR. PRESIDENT:lalala:
  13. M

    Elections 2010 Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?

    MIMI NAKUMBUKA NIKIWA SHULE YA MSINGI NILIFUNDISHWA NA WALIMU WANGU KUWA "ASIYEFUNTHWA NA MAMAYE HUFUNTHWA NA ULIMWENGU" AU HIYO METHALI IMEBADILIKA WAJAMENI??????????????????????????????? NGOJA NIPERUZI KUJUA KAMA KUNA MABADILIKO KTK METHALI HII. :A S-coffee:
  14. M

    Elections 2010 Urafiki wa Mashaka

    Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh????? Mimi chichemi
  15. M

    Elections 2010 KUMBE POLISI WANAMDAI JK bilioni 4?

    Polisi wasiwe na wasiwasi watalipwa pamoja na wazee wa east africa community dr. Slaa atakapoingia madarakani
  16. M

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    YES, YES SAY NO TO SECOND TERM.WATANZANIA TUMECHOKA KUBURUZWA:A S-confused1:. LAZIMA TUTAFUTE MABADILIKO LA SIVYO TUTAISHIA KUTESEKA HADI KIAMA. TZ BILA KIKWETE NA BILA CCM INAWEZEKANA. BYE BYE JMK:israel: KARIBU DR. WA UKWELI SLAA.
  17. M

    Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

    Nina imani yeyote anayetamka ccm in a positive way must have personal interest like you.... Jaribu kupiga simu siku hiyo nijue kuwa nawewe ni moja kati ya walioandaliwa
  18. M

    Ushindi si LAZIMA - Kinana

    mweeeee!!!!!!!!!!!!!!! hata mimi nashangaa.hivi jamani mbona hawa watu wanajikanyagakanyaga hivi? "UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU.Hawa watu wanasahau waliyokwishayasema awali ndo maana tunatakiwa tuwasamehe bure.kukataliwa kubaya jamani.
  19. M

    future scientists wa tz-products za ccm

    hivi kweli kwa mtindo huu tutafika?Tanzania tuko dunia ya ngapi jamani na tunaelekea wapi. nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali ambazo zinaliwa na wanaojiita wajanja wa nchi hii kwa kufanya mikataba mibovu na wageni.kwa jina lingine tuwaite mafisadi papa mungu tusaidie ndo maana wanafunzi...
Back
Top Bottom