Search results

  1. T

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    Hongera sana mama Regia Mtema kwa kampeni nzuri sana zilizokuwezesha kushinda katika jimbo lako. Kila la heri na baraka kule Bungeni.
  2. T

    Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

    Wenzetu chaguzi zao ziko huru zaidi na haki kuliko chaguzi zetu zilizojaa usanii na wizi wa hali ya juu ili kung'ang'ania kubaki madarakani. BBC News - Partial Ivory Coast election results show tight race
  3. T

    Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

    Huyu mzee ana busara za hali ya juu. Tunasubiri kusikia toka kwako kwa hamu kubwa. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu. Tanzania bila mafisadi na thithiem inawezekana kabisa.
  4. T

    Elections 2010 Sasa Najiunga Na Chama Cha Siasa Rasmi

    Mimi pia niko mbioni kuzifahamu taratibu za kuomba uanachama chadema ili nitume maombi ya kuwa mwanachama wa chama hicho. Mimi naamini kabisa kuna uchakachuaji wa hali ya juu uliofanywa kwa kutumia form za uwongo katika matokeo mengi ya Madiwani, Ubunge na Urais na pia kutumia IT kama ambavyo...
  5. T

    Elections 2010 Janja ya kumwokoa JK - ucheleweshaji matokeo

    Wakati utata ulipokuwa ukiendelea kuhusu Wabunge wa thithiem walioanguka na kuyakataa matokeo na pia kutia saini kwenye form za matokeo, NEC walikuwa wanayachakachua matokeo ya urais na wabunge wengine wa thithiem ili kuhakikisha thithiem kutoadhirika zaidi.
  6. T

    Mke wangu ana HIV nifanyeje?

    Mungu amekuepusha na huu ugonjwa (kama utaendelea kuwa negative) na inabidi umshukuru sana. Kwa ushauri wangu pamoja na kuwa bado unampenda lakini inabidi ujiepushe naye sana hasa ukitilia maanani kwamba ameshakutamkia kwamba ni lazima akuue.
  7. T

    Elections 2010 Masha kwaheri

    msishangae akipewa ubunge wa viti maalum
  8. T

    Elections 2010 Nimeshitushwa: Watanzania hawafanyi Kazi

    Hukustushwa na vitendo vya mafisadi kuiba mabilioni ya pesa za walipa kodi! iweje leo ustushwe na kitendo cha Watanzania kufuatilia mustakabali wa nchi yao baada ya uchaguzi mkuu? acha usanii!
  9. T

    Elections 2010 Most users ever online

    There are currently 16687 users online. 1962 members and 14725 guests Most users ever online was 16,925, Today at 04:40 PM.
  10. T

    Elections 2010 MUSOMA MJINI kwalipuka: Mwana CCM auliwa!

    Inasikitisha na kuogopesha sana
  11. T

    Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    Halafu cha kushangaza wakuu wa NEC wako kimyaaaaaa! si ajabu wameambiwa wasiseme lolote, hali inatisha kusema kweli.:angry:
  12. T

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Miafrika ndivyo ilivyo! hali inaanza kutisha :angry:
  13. T

    Elections 2010 Zenji Seif nyota njema

    thithiem wanaweza kabisa kuyagomea matokeo haya kama ambavyo wameanza kuyagomea matokeo mbali mbali ya wabunge bara.
  14. T

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Thithiem inaleta usanii kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini. Tume ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi imechaguliwa na thithiem hivyo kamwe haiwezi kuchakachua ili thithiem ianguke. Wazee mbali mbali nchi hii ndani ya thithiem akina SAS, Warioba na wengineo inabidi watoe kauli haraka sana ya...
  15. T

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Walikuwa mstari wa mbele kuwashinikiza wapinzani wawe tayari kuyakubali matokeo, na kujisahau wao wenyewe pia wawe tayari kuyakubali, sasa inaelekea kokote kule ambako thithiem imeanguka basi mkakati ni kuyakataa matokeo na kugoma kusaini forms za matokeo.
  16. T

    Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

    Mbona inatia wasiwasi hii kama ni kweli? haijakaa sawa hii.
  17. T

    Elections 2010 Kura zahesabiwa upya jimbo la Ubungo?

    Sasa wizi umeanza rasmi katika majimbo mengi
  18. T

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Inaelekea thithiem wameamua/wamekubaliana kung'ang'ania kubaki madarakani kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini form ya matokeo. Inaelekea kuna trend hapa maana Masha, Diallo na Batilda wameshayakataa matokeo.
Back
Top Bottom