Search results

  1. B

    Karamagi unangoja nini kujiuzulu?

    NO,NI RICHMONDULI.
  2. B

    Tanzania na Sheria: Rais Mwinyi Aliua Wengi Zaidi!

    Kassim Hanga?? Kweli mkjj una data za kutosha.....
  3. B

    Siku JF Watakapoitisha maandamano nchi nzima

    Wapendwa wana JF mimi naona hiyo siku ilikwishaanza.Maana ya hii forum (ninavoelewa mimi) ni kuelimisha jamii sasa jamii imeelewa tayari na ina hasira kali!! Jamii imejua chao (kilichoibwa)imeamua kukifata Bunju kilikofichwa. Ufunuo, farasi wa kwanza...kujua chako. farasi wa pili ...kupata...
  4. B

    Kubenea Wale Ndio Watesi Wako Kweli?

    Kubenea,say something...
  5. B

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Hii ndiyo iliyomuua SHENAZZZ?
  6. B

    Tulipokuwa primary,unakumbuka?

    Mnakumbuka masomo tu michezo? 1.BABA NA MAMA. 2.AMSINI PUTUKA. 3.KUCHONGANISHWA ILI MPIGANE (KUPUNJA) 4.KUJIFICHA. 5.JUONGEA KINYUMENYUME. Yaani ni mingi mpaka basi.
  7. B

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Wapendwa, huwezi kutuma sms ikatokea private namba, never ever.Jaribu kutunga kitu kingine.
  8. B

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Mhhh kazi kwelikweli.Ninasoma hii habari nashindwa kuamini kuwa Mangula aliyesifia ushindi wa kishindo wa 2005 anagundua leo kuwa kuna rushwa ndani ya THITHIEMU na kuna wanamtandao,KWELI KAZI IPO.
  9. B

    TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

    `BWANA AMETOA YEYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE'Poleni sana wanafamilia. Mtanzania, Nimekukubali.
  10. B

    Safi Rubani awashusha Mawaziri kwenye Ndege

    Nyiti?unamaana Henry Nyiti?Kifaru wa mawe?
  11. B

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Haya mapete yana issue,Mkapa alianza kuvaa akiwa Rais.Kikwete alivaa moja wakati wa kampeni mwishoni mwa kampeni mbili.Sio bure.
  12. B

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    "KELELE ZA MLANGO HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA"Sawa,Hata Sadam Hussein hakuwahi kufikiri kuwa angeishia hapo.
  13. B

    Buriani Amina Chifupa!

    Amina umejitenga,kufaumetangulia. Kama ua unafunga,baada ya kuchanua. Nakuombea manani,upumzike salama. R.I.P Binti mchapakazi.
  14. B

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Mafuchila wapo wanaohitaji maombi,nami ni muombeaji tu kwa kweli kama uko karibu na huyu ndugu mshauri aingie kwa hii forum nitamuombea japo niko mbali kidogo na home.
  15. B

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Kwa hiyo EN ni fundi?yaani ndiye aliyemuua IPPY AU?
  16. B

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Mwanakijiji inaonekana una SIRI nzito hapa hebu fafanua.
  17. B

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Yes free amina now.
  18. B

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    wamemshikilia kwa sababau wanaogopa vivuli vyao.
Back
Top Bottom