Search results

  1. S

    Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    Kwanza ungebadili kichwa cha habari badala ya Nimevurugwa ungesema "Nimejivuruga" Kwanza inonyesha unaishi bila imani kabisa na mwenzio; Kama ameondoka mwezi wa 6 na unahisi alipata mimba mwezi huo kuna tatizo gani? Mwezi wote wa sita hamjakutana? Kwa nini unamtuhumu mwenzio bil evidence? Je...
  2. S

    Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

    Thanks all , if it doesnt suit you pita tu dont waste energy kujibu; I see most men wana suffer from immaturity na wakipewa clear answers wanachukulia kama insults ; na sijasema natafuta mume au mtu wa ngono cant you read between the lines. U can make all assumptions you wish but the truth will...
  3. S

    ICT Specialist, P-3.UNICEF

    thanks-- I also wonder why it has been re advertised ; IT guys please try ur luck
  4. S

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Pole sana , huyo ni wa kwako tu; Naamini tabia ilianza pole pole na hukutake action ; its time now to correct it or let go of her. The best way ni kukaa nae akiwa kwenye good mood na kumweleza concerns zako zote , akikubali maisha yaende mbele na msamehe maana mengine ni ulimbukeni . Otherwise...
  5. S

    Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

    the best weight loss programe is eat health and exercise more
  6. S

    Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

    Just back off , this isnt your league kaka --its too low of you kuuliza haya hapa ; Sorry
  7. S

    Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

    Kaka yang usikariri sana . Si kila maisha yana path uliyokariri kichwani ;
  8. S

    Rafiki wa Kiume matured (40-50), mkatoliki anatafutwa

    Mimi mdada wa miaka 35-38 natafuta mwanaume/mkaka matured wa kubadilishana mawazo and who knows what next; mimi ni graduate, mwajiriwa , mkatoliki nategemea naye awe na walau mwelekeo huo. Kama huna any of these criteria (40-50 yrs, educated , matured, catholic) please dont waste ur time sms-ing...
Back
Top Bottom