Search results

  1. Bubu Msemaovyo

    Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

    Nafsi inamsuta sana na kauli ya Makonda nimeikubali. Hawa Majaji wala rushwa.
  2. Bubu Msemaovyo

    Ratiba ya Mazishi ya Lowassa hii hapa, hakuna nafasi ya kiongozi wa upinzani kutoa salamu za Rambirambi

    Sijaona salamu za rambirambi toka CCM kwahiyo ili uone mpira wa kona unaogeuzwa penalty sikiliza maudhui ya MC ataitaja CCM invalid katika ngozi ya chatu. Eti wamesahau kwamba walishasema Lowassa anajinyea, DHAMBI SANA.
  3. Bubu Msemaovyo

    Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

    Huo ndiyo uozo wa serikali hasa katika mihimili. Mahakimu wako standby kudhulumu haki za raia wanyonge ili tu Mh Rais awaone katika uteuzi. Shame on you mahakama. Halafu nyie UWT siyo kwamba mmeshinda bali UCCM umetumika hata Judge ametengua hukumu kisiasa. Wapo wengi wako jela kwa kuonewa namna...
  4. Bubu Msemaovyo

    Wimbo wa Taifa ufanyiwe marekebisho

    Umri wako miaka mingapi kwa pumba hizi
  5. Bubu Msemaovyo

    Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

    Huyu Dr muongo sana. Kwa hiyo wanawake wanaokunywa pombe wana hormones za kiume. Angesema kwamba wanaokunywa pombe wanasababisha kuwa na hormone za kike labda ningefikiria kwa undani. Lakini siyo kwa shortcut evaluation kama hizi.
  6. Bubu Msemaovyo

    Anamaanisha nini huyu Mwanamke

    Na wewe muache njia panda kwa kumwambia " Yaani nashukuru kuyajua haya mambo ulidhani sitajua. Kisha chukua simu yako jipigie kwenye simu nyingne bila yeye kujua. Kata simu lakini jifanye unaongea na mtu tena wakike, halafu jifanye unamsisitizia kuwa umkute pale pale. Kisha badili nguo yako...
  7. Bubu Msemaovyo

    Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

    Wanaobisha wana mihemko ya udine udine. Wamezoea kuua huku wakimtukuza mungu wao Allah. Wapumbavu tu magaidi wakubwa.
  8. Bubu Msemaovyo

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Naungama na wewe, haya MAHAMAS yamesahau kuwa kila siku asubuhi Wapalestina huvuka mipaka kwenda Israel kufanya kazi wakapata riziki zao. Leo hii raia wa kigeni wanauawa kwa kupigwa risasi vichwani at close range. Kwa kweli Joshua amauawa kinyama sana R I P Joshua and Clemence.
  9. Bubu Msemaovyo

    Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

    Israel wanajenga bumps za kuingiza maji ya bahari kwenye mahanadi ambayo Hamas wanajificha. Hapo wanasema hawatajali kuwapoteza mateka waliobaki.
  10. Bubu Msemaovyo

    Nimepata barua ikinitaka kutoa maelezo dhidi ya tuhuma ya kuanzisha mazungumzo pembeni wakati mkuu wa mkoa akitoa hotuba

    Sasaalikutumiaje sms bila kukufahamu maana unasema baada ya kukutumia sms alikwambia ujitambulishe. Hao walioweka kikao nyuma yako walitumwa na huyo jamaa. Usishangae wanaojulikana ndiyo wasiojulikana.
  11. Bubu Msemaovyo

    BBC media na Kanisa Katoliki

    Pamoja na Uanglicana pia kuna wandishi waislamu nao wako kazini kuuchafua Ukatoliki. Tupo imara kwa Mkono wa Mungu. Amen.
  12. Bubu Msemaovyo

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Ibrahim alikuwepo kabla ya Yesu Kristo kuzaliwa, Mtume Muhammad alizaliwa miaka 570 baada ya Yesu Kristo. Dini ya Kiislamu ilianzishwa na Mtume Muhammad aliposhushiwa Quran Tukufu. Sasa iweje Ibrahim awe Muislamu wakati huo hii dini ilikuwa haipo kabisa. Huo Msikiti lilikuwa ni Hekalu. Waislamu...
  13. Bubu Msemaovyo

    Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Nilikuwa sipati picha kamili kumbe vijana wanaona Mwanajeshi ni kijana mwenzao. Poleni kwa ujinga wenu.
  14. Bubu Msemaovyo

    Watanzania tuungane kwa pamoja kususia bidhaa za Wazayuni

    Anza kususia matumizi ya simu na mitandao mbalimbali. Yaani susia teknolojia ya mawasiliano kwa ujumla utakuwa umewaweza sana.
  15. Bubu Msemaovyo

    Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

    Sasa mbona hiyo "Mtasikia hivi karibuni" imekuwa siyo karibuni?
Back
Top Bottom