spika mweupe kweli, sasa jana bunge liliahirishwa la nini, ule muda wa jana wangetakiwa wafanye tafiti at ikifika leo watupe angalao expected causes za ya hayo mabomu kulipuka,
hii nchi hiii, ila pole pole tuu wote hawa wataondoka, maana naamini kwamba hata huyo Mwinyi hatajiuzulu, Davis M naye...
kaka yaleyale PM akiulizwa kuhusiana na hizo takwimu, atasema KAAMBIWA. Hivi hakai chini kusoma na ku analyse mambo kabla ya kupresent, kwani enzi hizi si zile za kudanganywa? Au ni kwa vile anajua kila atakaloongea bungeni kuna wapiga makofi wengi ambao hawajui hata wanapiga makofi kwa ajili gani?
hapo ndipo utaona upeo mdogo wa Spika wa kuchambua kanuni/sheria, kwani hata ile kanuni ya kuanzisha kambi ya upinzani (12.5% au zaidi ya wabunge) alishindwa kutoa maamuzi wakati vitu viko wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.