Search results

  1. mudushi

    Utatuzi umepatikana:Kwa wale wenye matatizo ya kushindwa kusimamisha uume au kumwaga mapema

    ww ndugu amos nyamambaya, kama unachochote basi weka hapa kwa faida ya wanaJukwaa. huna haja ya PM... Utapata shida kuzijibu...
  2. mudushi

    Utatuzi umepatikana:Kwa wale wenye matatizo ya kushindwa kusimamisha uume au kumwaga mapema

    Kijana merengo90, Hakuna haja ya PM hapa. Ni jukwaa la kusaidia watu hapa. Kama kuna kitu unakielewa basi mwaga hapa na watu woote wanafuaine. Kama ulivosema, Mungu atazidi kukubariki kwa kuwa mbaraka kwa wengine. tuache tabia ambazo baadhi ya watu kama #appoh za kutaka kufanya biashara badala...
  3. mudushi

    Utatuzi umepatikana:Kwa wale wenye matatizo ya kushindwa kusimamisha uume au kumwaga mapema

    Pole saana Kijana appoh kwa njaa. Hujui matumizi ya jukwaa hili. Jukwaa hili lilianzishwa mahususi kwa ajili ya kusaidiana katika matatizo mbalimbali hususani ya kiafya. Halikuanzishwa kwa ajili ya biashara. Msaada unaweza kuwa wa ushauri, maelekezo tiba ilipo, na hata kama unajua tiba basi...
  4. mudushi

    ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    hiki chama kiko wapi kwani? kinajihusisha na nini? viongozi wake ndo akina nani haooo?
  5. mudushi

    Tayari nimepata chama cha siasa

    Karibu CDM!!! Tujenge Nchi Yetu!!
  6. mudushi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Pole dogo wangu, Acha hiyo kitu, tuliza akili yako na soma hapa chini!!! Pole saana CHEUPE Josephina, Ushauri sahihi ni huu hapa: Nenda hospital, mwone daktari, utapimwa, na hope utapewa tiba sahihi. Mimi nilisumbuka saana, niliibiwa hela, nililishwa pumba nyingi mnooo. Sikupata tiba. Hata...
  7. mudushi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    MziziMkavu, Ushauri wangu ni kuwa waambie watu wapime kiwango/kiasi cha hormones mwilini ili waweze kujua tatizo ni nini hasa. Wengi ambao wamefuata ushauri wangu walikuta hormones za kiume zimepungua na walipopewa hizo hormones maisha yamerudi na wako fiti. Hii kasumba ya kusema njoo upate...
  8. mudushi

    Kujichua/puli ( musterbetion)

    Pole saana CHEUPE Josephina, Ushauri sahihi ni huu hapa: Nenda hospital, mwone daktari, utapimwa, na hope utapewa tiba sahihi. Mimi nilisumbuka saana, niliibiwa hela, nililishwa pumba nyingi mnooo. Sikupata tiba. Hata waganga wa HUMU JF nao nilikula pumba zao, lakini sikuwa/sikupata tiba. Soma...
  9. mudushi

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Vijana wengi saana nimewasiliana nao na waliahidi kuleta mrejesho. sasa fanyeni ivo basi.
  10. mudushi

    Nisaidieni jamani. Kujichua kumenimaliza kabisa.

    Ndugu Zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu. Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika...
  11. mudushi

    Nisaidieni jamani. Kujichua kumenimaliza kabisa.

    Pooe saana Tanki, Ila nakuhakikishia kuwa utapona kabisa na utarudi kutoa ushuhuda hapa jukwaani. Soma hapa chini aafu ni-PM. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/391345-ushuduhuda-upungufu-wa-nguvu-za-kiume-tiba-halisi.html mudushi
  12. mudushi

    Nisaidieni jamani. Kujichua kumenimaliza kabisa.

    Nenda Hospital kubwa ongea na dks watakupima na kukupatia tiba sahihi. Achana na waganga wa kienyeji mitaani na mabango yao. Kwa maelezo zaidi ni-PM.
  13. mudushi

    Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

    Sasa wewe mtoto wa mama umeibukia huku baada ya zeUtamu yako kufungwa ati. Daah ila mna bahati mbaya nyie. Urais ..., Ubunge... Mmebaki kujiita Matingatinga. Nenda kale ugali wa Anne wewe. Uliapa kurudisha kadi yako ya chama chako kama rais atawasikiliza wapinzani, mbona hujafanya ivo?
  14. mudushi

    Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

    Yaani hizi ni chuki za wewe na Ustazi John baada ya kushindwa kuishi IKULU. Tunajua mnavyomuunganisha mzee huyu Warioba na kushindwa wewe na baba yako kwenda kuishi ikulu. Vipi ule mzigo mliopokea toka Uarabuni ulishaisha? mudushi
  15. mudushi

    Re. Dawa za kuongeza nguvu za kiume

    butron, Na asipopona baada ya hizo wiki mbili itakuwaje? Utarudisha ngawila au kiendacho kwa mganga... mudushi
  16. mudushi

    Sina hamu ya mapenzi na uume wangu hausimami asubuhi

    Pole new generation, Tiba sahihi utaipata kutoka kwa madaktari wataalamu. Cha kufanya nenda hospital, ongea na daktari kwa uwazi zaidi. Utapata tiba sitahiki. Ona waweza pimwa kiasi cha homones na kupewa matibabu. kama uko DSm basi nenda MNH, kama uko mkoa basi nenda hospital za mikoa. Kama...
  17. mudushi

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    the horse, eeh bana wewe ni mbumbumbu kumzidi nape na mwigulu!!
  18. mudushi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Habari wana JF, Nimesoma hapa na kupata baadhi ya taarifa ambazo zinaweza kuwa msaada kwa waathirika wa PUNYETO. Someni haafu mtupie ushauri wenu. Nimeshindwa kutafasiri kwa Kibongo. Mwenye kuweza asaidie tafadhali. Sounrce Did you know... that over-masturbation can permanently destroy your...
  19. mudushi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Sirpartsons, Nenda hospitali mwone daktri. Baada ya maelezo yako kwa daktari, waweza pewa dawa na ushauri wa kutosha. Kama uko dsm nenda MNH, kama uko mkoa basi nenda hospitali za mikoa. Kama wahitaji maelezo zaidi, basi ni-PM, mudushi
  20. mudushi

    nguvu za kiume

    omereyo, Nenda hospitali, mwone daktari atakueleza cha kufanya. Kama unaona ugumu niPM nikueleze uende wapi na cha kufanya. mudushi
Back
Top Bottom