Search results

  1. N

    New Series I: Madudu na sifa za Edward Lowassa!

    Good 2015,sorry did u took ur tablets before your meal or not at all!?
  2. N

    Chuki tu: Kawambwa sio tatizo

    Hivi unataka kutuambia hili la kufeli ni la bahati mbaya? Serikali,Kawambwa na naibu wake,Ndalichako wote ni wa kufukuzia mbali! Hawana ubunifu wa matatizo yaliyopo na hawana uelewa wa changamoto za dunia ya sasa. Kimsingi wanaandaa taifa legelege la mbumbu watupu!!! Hebu fikiria kidogo...
  3. N

    Nawapongeza wenye RADIO hizi kwa kurusha matangazo online na wengine waige

    Hivi umesahau MOSHI FM? Kwa msaada ingia www.moshifm.radiostream321.com,facebook,youtube na twitter vilevile wapo.
  4. N

    Handaki kubwa lagunduliwa kitanzini Iringa

    This is good news,its a great opportunity for tourism!!!
  5. N

    Sitta: Sisubiri ruhusa ya mtu yeyote, nani asiyejua kuwa Chenge ni mtuhumiwa?

    Ukishakuwa ndani ya magamba,uwezo wako wa kuona na kufikiri unapotea na hadhi elimu yako inayeyuka!
  6. N

    Basi la Dar Express laungua moto

    Kweli kabisa,it is very risk
  7. N

    Basi la Dar Express laungua moto

    Acha mawazo potofu
  8. N

    Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Hii safi sana kwa Watanzania na wapenda mabadiliko kwani Mzee Sitta kaweka mambo sawa,kwamba Dr.Slaa mmoja ni sawa na viongozi 20 wa CCM wenye uwezo wa kuongoza nchi,halafu kama haitoshi bado hao viongozi 20 pamoja na yeye hawapati usingizi kwa sababu ya Dj anayeongoza CDM kwa...
  9. N

    Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

    Tumuulize Zito,kamati yake iliishia wapi na ukaguzi wa EWURA?
  10. N

    Kwa wenyeji wa moshi naomba msaada

    Naona niwajuze ubunifu wa watu wa Moshi au ''WAGUMU WA MO-TOWN'',kuna kitu inaitwa Kuku wa maziwa mitaa ya Kiboroloni na KDC,halafu mkuu wa meza yupo sehemu inaitwa Samunge au Toroka Uje''.
  11. N

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Hizo ni fadhila za uandishi wa kikanjanja
  12. N

    CHADEMA yachukua kata nzima!

    :israel:Naona unakuwa kama Al Sahaf yule msemaji wa jeshi la Saddam Hussein,so funny!!!
  13. N

    CHADEMA yachukua kata nzima!

    Duh!Nakuona kama yule msemaji wa Saddam Hussein alivyokuwa anasifia jeshi lake wakati anajua keshazidiwa,alikuwa anaitwa Al Sahaf kama unakumbukumbu!!!:israel:
  14. N

    Sabodo unatakiwa kumuiga Dr Mengi ili upewe sifa sahihi !!!!

    Na hivi visima vya maji anavyochimba Sabodo zaidi ya 800 nchini,ni vyake vya CHADEMA au wananchi!!? :israel:
  15. N

    Nikijiuzulu jimbo langu (Moshi rural) litakwenda chadema -Dr. Chami

    Tujuavyo JK ndiye anawang'ang'ania hawa vilaza,sasa sijui kama na yeye ni mkibosho!!?
  16. N

    Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

    Pamoja na mtazamo wako,kosa la Kanda ya Kaskazini kuichukia CCM ni lipi? Watu wa Kanda ya Kaskazini ni wachapa kazi CCM ingefanyakazi vizuri kusingekuwa na tatizo!:tongue:
  17. N

    Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

    Kama kweli anatisha angechukua hatua,jaribu kuwa na kumbukumbu japo kidogo,JK ni kiongozi pekee aliyesema ana list ya majambazi,list ya wauza unga,list ya walarushwa,list ya wakwepa kodi na wakwepa ushuru bandarini,nadhani hata sasa analist ya mafisadi na anawaomba wajirekebishe,sidhani kama...
Back
Top Bottom