Search results

  1. M

    Hivi Rastam Aziz ni nani Tanzania na ndani ya CCM?

    Mmoja wa wapigakura wa jimbo la igunga aliwahi kumuuliza RA kwanini katika kipindi chake chote kilichopita kama mbuge wao hakuwahi kuiuliza serikali swali lolote kupitia Bunge? Mh. RA alijibu mipango yote ya serikali anaijua na anashiriki katika kuipanga kwahiyo kuiliza maswali bungeni ni sawa...
  2. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Suala la uspika kweli ni tata kwa chama cha mapinduzi, kama cc ingekuwa na uwezo ingefutilia mbali majina ya samwel sita na chege kwenye mchakato wa kugombea kiti cha uspika lengo iwe kurudisha heshima ya chama chao japo hili litakuwa pigo kwa upande wa upinzani migogoro ndani ya chama hiki...
  3. M

    Elections 2010 Kitila mkumbo: Hatari iliyopo mbele ya CHADEMA

    suala la kununuliwa kwa wateule toka chadema ni ngumu kulizuia, kwa maoni yangu CHADEMA ijikite katika kuimarisha chama badala ya kung'ang'ana na watu hakuna mtu ambaye ni mkubwa kuliko chama watu watakuja na kuondoka ili kuimarisha chama napendekeza kwa kila jimbo ililochukua chadema ifungue...
Back
Top Bottom