mkuu wa wilaya form four anawafokea na kuwaongoza graduates kibao (wagavi,wahasibu, tecnicians etc) na kuna jamaa yangu ni graduate aliingia wizara ya mambo yandani kama computer engineer,post wakamtupa wilayani na saiv anamlinda DC ambaye namjua ni form six mwanasiasa. Hata mimi inaniumiza...
unajua sana....... Nadhani stamina si wakumfananisha na hao wengine walotajwa hapo. Uwezo wa stamina na style yake haiendani na ni chini sana kwa one,songa,stereo,mbishi,chata,p the mc..
sidhan kama kuna ukweli hapo! Mshauri mtu kitu ambacho kipo kwa mifano ya ukweli,kwann udanganye?
Nionavyo mimi serikalini nenda kama unataka freetime na kutobanwa ili ufanye vitu vyako lakini maranyingi utategemea mshahara tu. Private nenda km untaka kukuza professional na experience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.