Search results

  1. K

    Msaada kutoka kwa Pharmacist

    Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali. Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua 1.Neuro support 2. Calcimag 3. Meloxicam Natanguliza shukrani
  2. K

    Kiwanja kinauzwa dodoma mjini

    Weka namba ya simu
  3. K

    Msaada - kioo cha nyuma cha toyota Camry

    Nina toyota camry ambayo imevunja kioo cha kwenye but. Naomba msaada wanapochonga vioo hapa Tanzania, au kenya na Uganda maana Dar es salaam nimetafuta nimekisa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Japanese Toyota vs Toyota Indonesia

    Habari wakuu Swali dogo sana. Hivi toyota zinazotengenezwa Japan zinaingiliana spea na zile zinazotengenezwa Indonesia? Kuna toyota niliagiza kutoka Indonesia sasa kupata kioo cha nyuma imekuwa shida Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Ugonjwa gani huu

    Asante sana
  6. K

    Ugonjwa gani huu

    Ndugu zangu Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo hutokea nikiwa na kinywaji mezani kama soda na kadhalika Yaani inakuwa kama kuna mtu kagusa mkono wa...
  7. K

    Msaada kuhusu Toyota Progres

    Asante sana mkuu
  8. K

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Supu hata iwe moto kiasi gani ikiwekwa kwenye bakuli lazima itapoa tu
  9. K

    Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Nimekusoma. Haya nisaidie basi angalau jinsi ya kujua gari kama ni 4 cylinder au 6 cylinder kwa kuangalia picha mtandaoni. Hili nadhani liko direct
  10. K

    Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

    Wakuu, heshima kwenu Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti tofauti wengine wakisema ni gari nzuri huku wengine wakiiponda na kusema ni laini mno na zinachoka...
  11. K

    Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

    Kitaifa Geita. Mnazi Mmoja labda kimkoa
  12. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Nyashishi sawa. Mapilinga hapana
  13. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Tuwazoee tu mkuu. Humu ndani kuna watu wa aina mbalimbali
  14. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Mwanza mjini, Shy Mjini na Nzega Mjini. Kiwe kikubwa sehemu ambayo naweza kuwekeza ndo maana niko tayari kuongeza hela
  15. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Mkuu gari ni ile ile tu. Haitabalika whether iunzwe kwa cash au la. Wewe kama una cash sema tufanye biashara
  16. K

    Nipe kiwanja nikupe gari

    Ni biashara tu mkuu. Usidhani hata mimi nitachukua kiwanja chochote. Yaani hadi niridhike nacho
Back
Top Bottom