Search results

  1. pepsin

    Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

    Hatari Sana. Kama kweli. Ninachojiuliza ni kwamba, huyo mtoto baada ya kubakwa na kulawitiwa, ilikuwaje arudi tena kwa mwalimu yuleyule na aanze utaratibu wa kumpa sumu. Yaani hiyo sumu alikuwa anambugiza kwa nguvu au alimwekea kwenye chakula? Mtoto amebakwa na kulawitiwa, ameenda kwa mama yake...
  2. pepsin

    Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Point kubwa ni Nyumba iliyokamatwa IPO HURU.
  3. pepsin

    Arusha ni Mji ulioachwa uharifu utambe

    R chugga hatutaki kwere jombii, mkituletea za kuleta tunahamia kwenu
  4. pepsin

    Did you know this about Israel state?

    Kama hii haipingiki, basi Palestina watafute kwao. Au ndio Babu zao kati ya akina Ottoman na Waarabu wengine?
  5. pepsin

    Rais Samia aitisha mkutano wa dharura wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa

    Sababu za kikao kuwa maalum 1. Katibu hajaanda taarifa na yatokanayo na kikao kilichopita 2. Mwenyekiti hataki AOB 3. Kuna ajenda kubwa ya dharura
  6. pepsin

    Ikungi: Yanayojiri Kwenye Mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Tundu Lissu

    No thank you. Kwa Wanyaturu, nguo za mtu aliyepata ajali au kushambuliwa watapewa Wajomba zake. Kwa hiyo hiyo ni Mila ya Wanyaturu na sio CHADEMA. But, waliohusika kumwaga hiyo damu watapata chawa na kujikuna sana
  7. pepsin

    Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Afya ya mama Janeth yenyewe ni ya mtu aliyetua mzigo! Yale mangumi mpaka mama wa watu analazwa JakYA hatosahau
  8. pepsin

    Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Upo sahihi. Hiyo ni kazi ya Dola. Yeye amepona, tunamshukuru Mungu. Lissu hawezi kuwapata na kuwafanyia chochote wauaji. So, asamehe tu. Kupona kwake ni maajabu na kutoka hadharani kuwasamehe pia maajabu. Yeye ni muujizaa
  9. pepsin

    Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Lissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake. Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai. Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone...
  10. pepsin

    Wanaotajwa tajwa kumrithi Rehema Sombi kiti cha UVCCM Mkoa wa Singida

    Huyu amechagua fungu lake, kuonwa! Kugombea hatoboi maana anajua
  11. pepsin

    Wanaotajwa tajwa kumrithi Rehema Sombi kiti cha UVCCM Mkoa wa Singida

    Naona Ikungi wamelala fofofo! Hakuna hata anayetajwa? Wapi bi Zulfat?
  12. pepsin

    John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

    100%• Imani yangu ni kwamba Heche ni rais wa Tanzania/Tanganyika.
  13. pepsin

    Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

    Hiyo kweli kabisa. Sema wenye mbwa wengine huchukua majukumu ya mbwa! Yaani, mwizi akija hawataki mbwa wabweke kwa wivu ila wanabweka wao, kujaribu kumkimbiza mwizi na huku nyuma wezi wanamzunguka na kukwapua!!
  14. pepsin

    Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nami nikiwa Kama wewe kiimani nimeona SSH amekosea itifaki ya kanisa. Kiti Cha rais ni alama ya mamlaka na wote tunaoenda kanisani tunaamini tupo chini ya Mamlaka Moja na ndio maana vitu vyote vinavyoashiria mamlaka Kama Wanaume kuvaa kofia haviruhusiwi.
  15. pepsin

    Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Mwandishi wewe ni Paul aliyekuwa Sauli? Unaandika mambo mazuri utafikiri hukuwa katili na hata kuhusika na kutoweka kwa Ben R. Saanane! Kama umeongoka, si ungekiri hadharani na kumlaani shetani na watu wake waliokutumia kuumiza wengine
  16. pepsin

    SAUT siyo Chuo salama kwa Wanafunzi

    Acha ujinga na uzembe, soma. Incomplete unaiondoa kwa kufanya mtihani sio kwa juhudi nje ya taaluma. Wewe ni kati ya wanafunzi wazembe mnaoendekeza tu starehe Chuoni. Na usipobadilika, utadisco kabisa na hiyo incomplete Yako. Watanzania tusiendekeze uzembe katika kutafuta maarifa. Jitambue kama...
  17. pepsin

    Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Kwani hawajashindwa kesi? Case waliyofungua imepigwa chini. Mjomba wao ameonekana Carpenaumu ahikiji, awaite huko
  18. pepsin

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kile nilisema uchangamfu. Mimi ninao, na wewe unao, bado nini?
  19. pepsin

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Vipi kuhusu wewe kuwa demu wangu? Shape nzuri na uchangamfu unao!
Back
Top Bottom