Search results

  1. Camilo Cienfuegos

    CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba 1-0 Al Ahly Yanga 1-2 Masandawana TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda Esperance 2-0 Asec Twende kazi tupia wa kwako…
  2. Camilo Cienfuegos

    Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Wachina walicheza mechi dhidi ya Brazil. Walipoenda mapumziko, kipindi cha pili wakabadili timu nzima bila ya kugundulika kutokana na kufanana kwao🤣
  3. Camilo Cienfuegos

    Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Donny Van De Beek - Man Utd
  4. Camilo Cienfuegos

    Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Ndemla akiwa Simba
  5. Camilo Cienfuegos

    Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

    Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwenyewe
  6. Camilo Cienfuegos

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima
  7. Camilo Cienfuegos

    Benjamin Netanyahu katika viunga vya Nairobee

    Ulinzi wake sio wa kitoto
  8. Camilo Cienfuegos

    Hospitali ipi nzuri ya mama mjazito kujifungulia kwa Arusha?

    Hospitali gani nzuri kwa mama mjamzito kujifungulia kwa mkoa wa Arusha?
  9. Camilo Cienfuegos

    Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
  10. Camilo Cienfuegos

    DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Elfu 40 kwa Dstv utaishia kuona Big Brother Naija, japo napendekeza ununue Dstv hutojutia
  11. Camilo Cienfuegos

    Series (Special thread)

    Who is Erin Carter? Ndio nipo episode ya 1
  12. Camilo Cienfuegos

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Hafidh Konkon “ Konk Master”
  13. Camilo Cienfuegos

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Joyce Lomalisa “Waziri wa Maji”
Back
Top Bottom