Search results

  1. N

    Serikali yakanusha habari ya kupigwa marufuku ya matumizi ya mkaa ifikapo Julai

    Daah yaani hiyo barua haijakanusha ila mwandishi kapunguza ukali wamaneno tu.
  2. N

    Wanawake walio wengi hawana upendo na ndugu wa waume zao

    Ukiangalia kwajujuu utaona kuna ukweli. Ila imekaa hivi hakuna chamwanamke wala mwanaume eti aseme anapenda upande wamwenzie kuliko wake. Ila nikuuigiza tu hapa wanawake uguswa zaidi kwa vile asilimia kubwa ni tegemezi. Ngoja ukute mwanamke ndio anakipato kikubwa uone mwanaume aone anapeleka...
  3. N

    Kwa wale watakaofukuzwa kazi

    Waangalie na fursa za siasa maana huko nikujua kusoma na kuandika tu.
  4. N

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Naomba unipe utaratibu na vianavyohitajika katika mita za ziada.
  5. N

    Oil & Gas Engineering China Scholarships

    watu washapigiwa simu/email ijumaa wanaenda wizarani kufuata documents zao
  6. N

    Nauza kiwanja Dodoma

    0767438676
  7. N

    Nauza kiwanja Dodoma

    2,000,000 (milioni mbili) ni typing error jamani mbona mnatomboka hivyo.
  8. N

    Nauza kiwanja Dodoma

    Kiwanja kipo msalato opposite na magereza 2,000,000. Ni robo eka umeme na maji yapo karibu.,
  9. N

    JamiiForums imenisaidia nimepata kazi

    Alhamdullah, wana JF na mie nimepata kazi kwa kupitia matangazo ya humu. Nawashauri sie tusie na marefa ukiona tangazo we tuma na umuombe Mungu tu, maana mie huu ni mwaka wa nne tangu nimalize chuo. Tusijikatie tamaa, tujaribu kufanya kazi hata za kujitolea kuongeza experience. Mungu awatilie...
  10. N

    Udom

    Vipi wamemaliza?
  11. N

    Udom

    Vipi wanaendelea kuitwa? Tujuzane kwa nafasi walizoita?
  12. N

    Udom

    Jamani mwenye data kama UDOM wameshaita watu kwa nafasi zote?
  13. N

    Udom

    Hivi ni fani zipi wameshaitwa ili tuendelee na mambo yetu. Nao wangetoa tu majina kwenye mtandao wao.
  14. N

    UDOM kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Mmmmh mbona hata mimi ni kijeba, au kuna walionizidi?
  15. N

    UDOM kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Jamani UDOM wameshaita watu kazini kwa waliofanya oral interview? Au mwenye tetesi atujuze nini kinaendelea?
  16. N

    Mshahara wa serikali PGSS 14

    Hata mie nimeshangaa kwa hilo. Labda ebu mtufafanulie vizuri.
  17. N

    Udom Job: Oral Interview

    Vipi mwenye data kamili kama oral wamemaliza au vipi?
  18. N

    Tamaa ya Vipesa Inaiua UDSM

    Umeona eeeee, apeleke jukwaa la siasa.
  19. N

    Majina ya waliokuwa shortlisted kutoka Sekretarieti ya Ajira

    Au sijaelewa. Mbona hizo nafasi ni za mwaka juzi yaani yale mamia ya kazi yaliyotolewa kabda ya uchaguzi. Tena nilosikia zilisitishwa.
  20. N

    UDOM mbona kimyaaaa?

    Hawajamaliza oral interview?
Back
Top Bottom