Search results

  1. F

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Osmund Middle Name: Joseph Last Name: Mbilinyi Member Type: Constituency Member Constituent: Mbeya Mjini Political Party: CHADEMA Office Location: Box 815, Mbeya Office Phone: +255 716 627344 Ext.: Office Fax...
  2. F

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Hapo kwenye rangi. Ndio mafundisho mnayopewa huko Kanisani kwenu na sunday school ambayo yanawafanya mnaishi kwa wasiwasi. Na ndio yaliyopelekea yule mtoto akanajisi kitabu cha watu kwa chuki mliyonayo ambayo ikasababisha hasara kubwa kwa makanisa yenu.
  3. F

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Wakati dunia ya sasa imejikita kwenye ujasiriamali naona waziri anakazania ajira. Ndio maana kuna kundi kubwa la vijana wako mtaani hawana ajira kumbe si kosa lao. Tatizo ni mfumo mbovu wa elimu unaowaandaa vijana kuja kuajiriwa!
  4. F

    Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

    Yale ya muembe chai 1998 na mauaji ya zanzibar 2001 ilikuwa wakati wa nani vile? :thinking::thinking::thinking:
  5. F

    Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

    Hapo kwenye red, dogo bado anajiuliza atabaki duniani au vp? Ngoje ufe uingie jahanam ndo utajua wavaa kobaz wako sahihi
  6. F

    Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

    Haya yote yamesababishwa na Julius Kambarage Nyerere kuwanyima elimu waislamu baada ya uhuru. Pia ni matokeo ya baraza la mitihani (NECTA) kuwahujumu waislamu.
  7. F

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Ulimsikia scholar gani alisema ukikojolea unakuwa mjus. Au na wewe unataka kuleta za mtu akikojolea rosary ya msalaba anawaka moto?
  8. F

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Mnawasiwasi gani maaskofu wakati mtachukua hela katika MOU mrekebishe majengo yenu, ambapo katika MOU hiyo kuna hela za waislamu pia.
  9. F

    Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

    Julius Kambarage Nyerere yeye mwenyewe yuko wapi?
  10. F

    Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

    Kama inavyotawaliwa sasa na kanisa Kutokea St. Joseph.
  11. F

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    Zanzibar inaelekea pabaya, maana inatupia njiti aya kibiriti kwenye petroli. Ila mleta post isije ikawa unataka kuchoche!
  12. F

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    Mbona Mwembechai walitoa matamko ambayo yalipelekea mauaji ya mwembe chai.
  13. F

    Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

    Bakwata ni taasisi ya maaskofu na serikali kwa ajili ya kudhibiti waislamu.
  14. F

    Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    Kwa waislamu kitabu chao ni zaidi ya madhabahu ya kanisa. Mbona nyie makanisa yalivyopigwa mawe hamjapuuza kanisa si jengo tu.
  15. F

    Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    Askofu Remote aliyeanza uchokozi nani kama si yule mtoto aliyekojolea kitabu cha mwenziwe, usiwe bias kwa kuwa aliyefanya vile ni mkiristu mwenzio.
  16. F

    NSSF ya Dr. Dau na udini itajifia karibuni

    Kweli nyani haoni kundule! Hivi udini unaofanywa NECTA huuoni Udini unaofanywa PPF huuoni au kwa vile PPF MD ni mkristo. Udini wa PSPF huuoni au kwa vile PSPF MD ni mkristo. Udini wa TRA hujaona au kwa vile CG Mkisto.
  17. F

    Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

    Mafunzi ya chuki aliyopewa na walimu wake wa dini na wazazi wake dhini ya uislamu ndiyo yamesababisha machafuko na ghasia za jana.
  18. F

    Kuna Upendeleo wa wazi kwa Waislamu Tanzania!

    Huna jipya mkuu unataka kuendeleza chuki.
Back
Top Bottom