Mkuu nafikiri humjaelewana vyema na huyo jamaa.
Usalama wa nchi yeyote upo hivyo. Lazima uwe na mashushushu kila mahali. Iwe nje ya nchi, misikitini, makanisani, vyama vya siasa, kwenye kila taasisi, shule, nk.
Mtangulizi wake alikuwa akisafiri kwenye hiyo mikutano mkasema ohooo mbona anasafiri sana nk. Sasa Mh huyu hasafiri sana tena bado mnalalamika. Wewe unamuona waziri mkuu wetu hawezi kumwakilisha Rais?
Hata tungetuma Balozi wetu wa huko Japan still mambo yangeenda vyema tu.
Sasa unatutolea mfano...
Sasa kwanini ulimkimbia bila kumpa nauli ya kumrejesha kituo chake cha kazi?
Unatongoza mtu hata hujui sura yake wala umbile lake. Yaani kwa kifupi ulitongoza id yake. Ulichofanya siyo kizuri ulitegemea atarudi vipi Mwanza?
Nyie ndo wale wanaume ambao wakiona tundu lolote wanataka kuingia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.