Search results

  1. M

    Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Unaona mbali Mkuu! Kama ndivyo hivyo ni ishara ya amani kutoweka sasa. Watangazieni wananchi wote!
  2. M

    Joyce Mhaville wa ITV: Ni nani? CV yake mnayo?

    Sawa ni kazi yake, lakini anaonyesha wazi anaifanya kwa weledi ndo maana tunamsifia... after all kinakuuma nini au inakugharimu nini mtu akisifiwa? Nyinyi ndo type ya wale watu hata ukipewa huduma nzuri na baa medi husemi asante kisa eti si kazi yake, asante ya nini....una element za unyama...
  3. M

    Joyce Mhaville wa ITV: Ni nani? CV yake mnayo?

    Sikuleta mada yawe hayo.....umefika mbali mkuu!
  4. M

    Joyce Mhaville wa ITV: Ni nani? CV yake mnayo?

    Nimefurahishwa sana na kitendo cha ITV ikishirikiana na UDSM kukubaliana kurusha midahalo ya wagombea urais 2015 live mara ifikapo kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka huu. Bibie Joyce amekuwa mstari wa mbele kuifanya ITV kuwa kituo bora cha matangazo TZ na hata nje ya mipaka yetu - kweli ITV nyinyi...
  5. M

    Namba mpya za pikipiki 25Million nchini, Serikali igharamie !

    Ebu rudini kwenye mada, idadi ya pkpk Tz sio issue hapa, issue ni halali kutulipisha mara mbili plate namba wakati kosa ni lao wenyewe kutoa namba za magari kwa MC yaani motor cycles?
  6. M

    Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    Aliyeitwa "Tumbili" na Jaji Werema ana kila dalili za ushindi katika hii ishu. Sasa naona Jaji atamuita tumbili "Ipuma Ilume" yaani kwa lugha ya hapo mkoa wa mjengoni kigogo ina maana nyani dume lililo kubwa kabisa sio kitumbili...!:becky::tonguez:
  7. M

    TOYO Pikipiki Ya Miguu Mitatu inauzwa

    Mpigie tu simu, uongee na mengineyo kama discount nk....
  8. M

    Halima Mdee asambaratisha CCM Shinyanga, amnyakua Kigogo CCM Mkoa

    Kishapu sasa hivi si yupo yule mwarabu wa Mombasa Raha, mbona mwepesi sana kwa CDM?
  9. M

    BAVICHA, Kamanda Mbowe kuitikisa mikoa sita kwa Chopa!

    Kipi ni sahihi sasa? Kuna mwenzako kaanzisha uzi mida hii hii CHADEMA wabwagwa na wafadhili wa nje. Kwamba - kaongezea wamefilisika hawana hata uwezo wa kurusha chopa.
  10. M

    CHADEMA under UKAWA Dodoma.

    Hongereni watu wa Idodomya! People's power inaingia kwenye uti wa mgongo wa Tanganyika.
  11. M

    Mgao Kisheria Na Mke Wangu Utakuwaje Hapa?

    Napenda kuuliza kwa wanasheria kama mimi ni mwajiriwa wa kampuni na nilikopeshwa nyumba na kampuni 2002 na baadaye mwaka 2005 nikamuoa mwanamke aliyenikuta ndani ya nyumba hiyo na nimeshaanza kukatwa deni.Miaka kumi baadaye yaani 2012 deni limekwisha, nyumba ninaimiliki kwa 100%. Sasa...
  12. M

    Dr. Slaa kukutana na wanahabari Makao Makuu ya CHADEMA

    Jmaye usihangaike na misukule. Iwe kwa roho safi (mnapiga matunda) au kwa roho mbaya (mnaua nyoka, manyigu) Dr. W. Slaa kiboko yao hawaishi kumtajataja. Wao mnaomtajataja ndo tuwapime akili.....
  13. M

    UKAWA mkae mguu sawa

    Source: Jana taarifa ya habari (kati ya star TV au Ch. 10) sikumbuki vizuri channel, ila ameonekana Mh. mbowe akilalamika hayo kwenye Kikao cha Kamati Kuu CDM. Aliongeza kuwa hii ni mbinu ya kuharibu kura za CDM. Take: Inawezekana itakuwa ukikosea kuchora nembo tu kura inaharibika hasa kwa...
  14. M

    Tabia ya Wazee waliopitia Ubaharia

    Le Mutuz nyumba inaungua huku....!
  15. M

    DSTV yazindua kifurushi cha 17000, nafuu mno

    Mstahiki Meya hii sio habari waambie na hao hapo pichani. Kifurushi hiki kipo siku zote na mimi nilinunua ungo wao mwaka jana mwezi Agosti nilikikuta na ndio hasa natumiaga kila mwezi hata sasa. Nashanga mnaposema kinazinduliwa wakati tunatumia kila siku. Habari ya mujini tunayoingoja toka...
  16. M

    Wanajeshi, polisi watwangana risasi

    Soma vizuri uelewe kisa. Polisi wangefanya kazi yao kwa weledi ya kuwakamata na kuwachukulia hatua stahiki haya yasingetokea. Tabu ni pale unapoanza kumpiga mtu, si kwamba wanajeshi hawachukuliwi hatua ila ile kupigwa ndo tabu. Kutovaa helmet sio maana yake nipigwe! nadhani hata wewe unge...
  17. M

    Sitta akalia moto

    Maaskofu wanahaki ya kuzungumzia Katiba ya Nchi yao, si lazima wawe wabunge au wana siasa, Katiba ni zaidi ya siasa... Amka!
  18. M

    Efulasia Mawala wa Star TV hasomi habari za UKAWA

    Rekebisha heading hapo juu andika ''Ephrasia'' na sio Efulasia, otherwise nakubaliana na wewe kwa uzi wako.
  19. M

    Sitta: Nyaraka zinazosomwa makanisani ni za kipuuzi

    Kulewa madaraka kunaleta dharau kwa Watumishi wa Mungu...
  20. M

    Salim Mwalimu ni nani

    Mhhh! Kwa umbea tu hujambo.....
Back
Top Bottom