Ndugu yangu, umemtetea sana Waziri, mm sipingani na hoja yako lkn ujue pia yeye ni mwanadamu anakosea pia. Tuseme tu hapa Dr mpango alikuwa na nia njema lkn hapo hapakuwa mahala pake.
Kumbuka Lazima tu-stimulate uchumi wetu, bila hivyo hata hizo hotel zinashindwa kujiendesha. Serikali imekataa...
Hatauwezi kuwa na maendeleo kama umeme utakuwa sio imara. Ili kukuza uchumi wa nchi nishati ni moja ya vitu muhimu sana. Kuanzia majumbani, makazini viwandani etc. Hawa Tanesco wanapandisha bei kila siku, lakini hawaboreshi huduma mi nafikiri pia hii wizara imekuwa sugu na imeongozwa na mawaziri...
Mi nafikiri hakuna ubaya wowote kupanga mkakati ya ushindi. Sidhani kama unaweza kushinda bila mkakati. Hata Lowasa anaitaji urais na anaendelea na mikakati yake na CCM wanajua lkn wamenyamaza. Mi sioni hapo kitendo cha kugawa chama bali ni kuimarisha chama kwa kuja na mtazamo tofauti. Tuwe...
Je njia mnapika nyumbani? kila siku mnawahachia ma mecury ( Hg) kupika chakula, alafu unataka nije nile chakula home? je kina utofauti gani na cha bar? mjirekebishe na muanze kuwapikia waume wenu nasi tutakula nyumbani
Mpe pole sana ndugu yetu. Hapo cha kujifunza ni kwamba kati yetu wanaume na wanawake tuna mtazamo tofauti lipokuja suala la uhusiano. Wakati mwanaume ameweka ngono ndiyo chaguo lake la Kwanza na ndoa baadaye, Ni kinyume na Mwanamke ambao mara nyingi uweka ndoa ndio chaguo la kwanza ngono...
Losambo umenena kweli, Hi barabara ya Kutoka pale reli(Njia ya kwenda Kitunda) ni mbaya kupita kiasi, Madaraja yamebomoka, Diwani sijui yuko wapi na anafanya kazi gani na Mbunge ndiyo amelala kabisaaaaaaaaaaaa. Ifike wakati sasa wananchi tuwaajibishe hawa viongozi wetu ambao wamekaa tu na...
Ss tunataka apunguze inflation rate, pamoja na kuinua sarafu yetu dhidi ya fedha za kigeni.naona yy ni mwana uchumi, naibu wake mwanauchumi, let give them time and see what proposal they will come in next budget meeting
Habari hii kama ni ya kweli mi imenistua sana, kuna hatari ya pesa zetu kuliwa nasi tukabaki tunalia tu. Hakika ni kwamba itafika kipindi ambapo hii mifuko haswa nssf itashindwa kulipa mafao ya wastaafu kwani inakisiwi kuwa kuanzia mwaka 2020 idadi ya wastahafu itakuwa ikiongezeka kwa kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.