Search results

  1. figganigga

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  2. figganigga

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Ila hii ya Tver inapendeza. Urusi hawaamini macho yao. Ukraine inatumia kila upenyo unaopatikana kuhakikisha inamtia hasara Mvamizi Urusi
  3. figganigga

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    A refinery in the Kaluga. Mkoani Kaluga Nchini Urusi moto wayaka
  4. figganigga

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    🔥 Tver, Russia. Vita haina mwenye.. Huko Urusi wanaipatapata
  5. figganigga

    Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

    P, ile ya Regina Mtema nakumbuka tulikuwa tukikutana pale ukiwa MC. Kinachoniuma ni jinsi watu hawakitumii kipawa chako cha UMC. Mungu azidi kukubariki Wewe una kumbukumbu sana. Unaturudisha nyuma kitambo.
  6. figganigga

    Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Heka heka zake za kulinda chama ndo zilisababisha kifo cha Wanafunzi Akwilina Akwilini Bafta. Sasa hivi wanaopata tau ni Maasikari walotuma kuwadhibiyi Chadema
  7. figganigga

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana. Nimeshangaa kusikia...
  8. figganigga

    Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani. Lakini pamoja na yote...
  9. figganigga

    Tofauti ya siku ya Wanawake na Siku ya Mama duniani

    Kwa ufupi sana. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inatambua mafanikio ya wanawake, bila kujali utaifa, kabila, dini, utamaduni, lugha, hali ya kiuchumi au mwelekeo wa kisiasa. Siku hii pia huongeza chachu katika harakati za mapambano katika usawa wa kijinsia kwa wanawake na wanaume katika jamii...
  10. figganigga

    Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  11. figganigga

    Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Weka hapa RB ya Polisi tuone kama kweli umekwenda. Je, TCRA tutaamini Vipi umeenda? Malalamiko umetuma kwa njia gani? Je, wamekujibu kwa Maandishi?
  12. figganigga

    Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Nyie ndo walewale. Mumepewa link download nyie kulialia tu. Hiyo ulonayo uondoe uweke hii. Unakwama wapi? Nimekushangaa sana
  13. figganigga

    Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Kila siku watu wanaelekezwa hata thread ishaanzishwa lakini bado watu wanalalamika. Soma hii. Thread 'App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi' App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
  14. figganigga

    DOKEZO Kibaha: RUWASA yakataza kijiji kutumia maji ya kisima kwa zaidi ya miezi miwili

    Mmh! Makubwa. Ushaambiwa mleta mada ni muongo kadanganya.
  15. figganigga

    Kama App ya Jamiiforums inakusumbua, tumia hii link

    Salaam Wakuu, Hivi kuna mtu bado anapata changamoto kwenye kutumia application ya Jamiiforums? Kwa wale wa androids tumieni hii link. Acha kulialia https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamii.app2024
  16. figganigga

    DOKEZO Kibaha: RUWASA yakataza kijiji kutumia maji ya kisima kwa zaidi ya miezi miwili

    Mkuu, tuweke Kumbukumbu sawa. Mlichimba wenyewe au Wafadhiri ndo waliwachimbia maji? Je, Makusanyo ya Maji nani anapokea hela, RUWASA au wenyewe Wanakijiji? Kama Wanakijiji, Mwezi mnakusanya kiasi gani? Je, Kijiji chenu kimejiunga na Jumuia za Maji vijijini? Nani anapima Usalama wa maji?
  17. figganigga

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Wametoka wanapotoka huko urusi, Wakaja Ukraine kuangamiza kizazi cha Ukraine. Wameangamia wao. Warusi walikutana na kichapo cha HIMARS huko Trudivske Mkoani Donetsk. Makomandoo wa Urusi 65 wamekwenda na maji.
  18. figganigga

    Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
Back
Top Bottom