Search results

  1. N

    Elections 2010 Gachuma akanusha madai ya Dk. Slaa

    its only a matter of time kitaeleweka tu!
  2. N

    Elections 2010 Raisi wa Kwanza Duniani katokea Tanzania

    ..................... you need physocological help nova!
  3. N

    Elections 2010 Raisi wa Kwanza Duniani katokea Tanzania

    Any comments? 1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake 2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi...
  4. N

    Tunamfukuza kazi JK kwa kudhoofisha uchumi ila twamwongezea Mahakama za kadhi na OIC.

    Haya yote jamani ni marudio kilichobaki ni kupiga kura tuache sound
  5. N

    Elections 2010 Kikwete amewaahidi nini hawa?

    Wamejitolea kwa kipi walichonacho? Hao wamenunuliwa!
  6. N

    Elections 2010 Kikwete amewaahidi nini hawa?

    Jk kaishiwa na sera hana jipya kashaanza kuchimba watu bit kwa kutumia jeshi. Kampeni za ccm watu wanalipwa kwenda, kampeni za chadema watu wanachangia mfuko wa kampeni, EXPERIENCE THE DIFFERENCE!!!!!!!!!!
  7. N

    can x-lovers be friends?????????

    "NGO" umesomeka u should do family counceling or something!
  8. N

    Elections 2010 Kumbe watu hawa wanadanganyika kwa nje tu,ndani ni wanamapinduzi?

    kwani lazima iwe Tanzania nzima hao wachache c wanachukuliwa kama sample space, au ulitaka mpaka watanzania wote waseme hivyo ndo uridhike
  9. N

    Elections 2010 CCM yatafakari mbinu za kuzima mdahalo wa Uraisi...

    Tatizo kama unachuki binafsi inakuwa ngumu kuukubali ukweli ingawa roho yako inatambua kuwa JK anauwezo mkubwa sana wa kupanga hoja na kuzieleza kwa kina ! Hata hivyo kwanini unang'ang'ania mpambano wa Man United na Lipuli ya Iringa. Slaa mlinganishe na mutamwega angalau utaonekana unaakili...
  10. N

    Elections 2010 CHADEMA yashindwa uchaguzi mkuu 2010

    weee mwiba utakuwa fisadi tu kama ni kweli kwanini tusikubali, ukweli aufichiki! utaipenda tu
  11. N

    Elections 2010 CHADEMA waliuza Ubungo 2005?

    mti wenye matunda lazima urushiwe mawe kwa hiyo wana chadema wote lazima tuzohee kuzushiwa mambo
  12. N

    Elections 2010 Angamiza malaria

    usijali speaker hakikisha una hamasisha watu wengine kumi wapige kura itakuwa ni sawa umepiga kura
  13. N

    Elections 2010 CCM yatafakari mbinu za kuzima mdahalo wa Uraisi...

    just imagine kikwete against Slaa what would jk say, ataishia kusema,kidumu chama cha mapinduzi, Slaa would eat him alive.
  14. N

    Hellloooooooooooooooooooooo jamiii forum

    Pasco, am here to stay lazima tuwe na after party tukishashinda
  15. N

    can x-lovers be friends?????????

    sio vinganganizi tu hao ni vicheche class A
  16. N

    Elections 2010 Angamiza malaria

    Uchukue na wenzako kumi tuwamalize mazima!
  17. N

    Elections 2010 CHADEMA waliuza Ubungo 2005?

    Turudi kwenye mada chadema waliibiwa kura na ccm na siyo kwamba waliuza ubunge huyo mtatiro basi na yeye alikula 10% inaonyesha mtatiro alikuwa dalali wao yeye alijuaje kama siyo ametumwa kwa kasi zaidi, ari zaidi.nguvu zaidi
  18. N

    Elections 2010 Kumbe watu hawa wanadanganyika kwa nje tu,ndani ni wanamapinduzi?

    Kweli ndo huo mambo yamebadilika kila mtu ameamka ccm zimebaki tshirt tu kila mtu anataka mabadiliko
  19. N

    Elections 2010 Angamiza malaria

    piga kura kuiondoa ccm na tuangamize malaria sugu, the more we vote the harder it is for c.c.m to chakachua the votes more voters less ccm
  20. N

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    this z gud Tanzanians are waking up mi naomba tu watu wakapige kura plz plz plz ili washindwe kuchakachua
Back
Top Bottom