Search results

  1. W

    Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

    yaliopo kwenye hilo bango ni ya kweli kabisa,,,,,
  2. W

    Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

    kwaio km slaa mpayukaji inamaana tusifanye mabadiriko? ht km ni mpayukaji tunataka tumpe tumpe tuone na yy km atatuzingua basi tutabadirisha tena tutaendelea lini kwa kung'ang'ania chama kimoja miaka 50 sasa kila siku ni longolongo? mi namtaka huyo huyo mpayukaji
  3. W

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    we need changes,tusiwe wapuuzi na wapumbavu,kenya kanu iliwazingua wakaitema,kwann sisi jmn tusiiteme? wanatuletea maisha magumu kila kona.rostam mwizi kikwete alipofika jimboni kwake igunga,akaawambia wananchi wamchague,inamaana aje aendelee kutuibia? tumchague slaa awafilisi wote mali...
  4. W

    Elections 2010 CHADEMA yashindwa uchaguzi mkuu 2010

    kama watashindwa kihalali ni sawa,ila km ni kwa zengwe,aaah km kenya man.:grouphug:
  5. W

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Wilbrod slaa ndio mtanzania na mwanakondoo pekee aliteuliwa na mwenyezi mungu kuja kuokoa kilio cha watanzania wengi masikini angalau hali yao ya kimaisha itengemae. mi ni ccm damu lkn cwezi kutetea upuuzi kisa mie ccm.nawaambia wa tz wenzangu kwamba its time for change.... lets change jmn
Back
Top Bottom