Search results

  1. B

    Elections 2010 Jk atakuwa mc mzuri sana!

    Labda alishawahi kuwa mc huko nyuma basi kama sivyo amesoma alama za nyakati, huyu jamaa anajiandaa vyema kwa kazi hiyo baada ya oktoba 31 kwani kila nikitafakari anayoyasema na ahadi anazotoa hana tofauti na mc kwenye sherehe anayetia madoido kama kusema "hii shela ya bibi harusi imeshonwa...
  2. B

    Elections 2010 Niwaonavyo wagombea watatu wa urais

    Huna muono ila una mahaba ya kutokutaka kuukubali ukweli, hao unaoona wanafaa wamejenga ushirika wa kuhakikisha nchi haikombolewi, mwingine wivu mwingine king'ang'anizi ingawa hata afya haimruhusu huku umma umeshamchoka.
  3. B

    Elections 2010 Matumaini ya kutokuibiwa kura yametokea - bado swali moja dogo

    Kwa ufisadi huu hiyo namba itakuwa haifanyi kazi siku ya uchaguzi.
Back
Top Bottom