Search results

  1. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Yule talaka tayari nishapata.
  2. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Tatizo haweki misingi ya mapenzi yetu. Unajua kitu chochote kinahitaji misingi
  3. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Sio hivyo kaka yangu, yaani hata kuongelea mambo yetu na kuweka misingi ya mahusiano yetu nayo inahitaji nini maana muda wa miaka miwili tulikuwa tunajuana ndo maana tukadumu muda wote huo. Cha kushangaa ndo hicho he doesnt care anything about our future
  4. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Ni kweli yaani nampenda sana huyu wa Dar yaani hata sielewi kwa nini yeye hashtuki kuwa mi nalala namuota yeye ndo maana napatta nguvu ya kywakataa wengine kwa sababu nampenda sana yeye, Na analijua hilo lakinin hata hashtuki
  5. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    N Nampenda sana wa Dar japo ndo simuelewi elewi, halafu hata yeye labda kwa vile anajua nampenda sana ndo maana analeta majidau
  6. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Kweli kabisa hat mimi nafikiria hivyo hivyo hata kama hatangazi ndoa at least angeweka misingi ya mahusiano yetu
  7. N

    Baadhi ya Mbinu za Kumridhisha mwanaume wako kimapenzi

    Nimelipenda somo ni zuri sana,naona mwanaume wangu sasa atakuwa anachanganyikiwa na mimisiku zote.
  8. N

    Huyu mpenzi wangu simuelewi

    Naomba msaada wa ushauri hasa wanaume. Nilianza kuwasiliana boyfriend huyu kwa njia ya simu mwaka 2014 mwanzoni ambapo wote tulikuwa hatujuani tukawa tunapendana sana tumeendelea na mapenzi yetu ya simu hadi kufikia mwaka jana 2015 Decemba ambapo nilifanikiwa kusafiri hadi hapo alipo na...
  9. N

    Mwanamke kuwa juu ya mwanaume ni mtindo hatari wakati wa tendo la ndoa

    duh ni vizuri kufundishana style maana tunaumia sana
  10. N

    Nimeoa na ninaishi na mke mwenye VVU kwa miaka 7

    Mungu akutie nguvu. Ila cha muhimu ni kuombeana sana kipindi cha ujana kina changamoto nyingi sana. hujui utakuja kuangukia kwenye msalaba gani, ni neema tuya Mungu itutangulie
  11. N

    Uzuri na ubaya wa kurudiana na mpenzi wako wa zamani

    Ni ukweli lakini mimi kwa sasa niko katika hatua ya kurudiana na mpenzi wangu wa zamani miaka saba iliyopita ambapotulikuwa wapenzi lakini hatukuwahi kushirikiana kimapenzi. Baada ya kuachana mimi nilipata mtu mwingine na kuzaa nae, kumbe jamaa alikuwa bado ananipenda alivyoona tutumeachana...
  12. N

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Dah nilisoma zamani sana hadi nimeona uvivu kuimaliza tena maana ilinigusa sana. Asante kwa kutukumbusha
  13. N

    Mchungaji Msigwa akiwa kazini Washington Marekani

    Duh jamani watu hawakosagi maneno. Sasa hapo umeongea nini mpendwa mtoa mada?
  14. N

    Onyo: Usipende kunyoa unapoenda faragha mwenza mpya

    Huo ni ukweli usipingika kwamba unakuwa umejikata hivyo kuacha nafasi wazi kwa ajili ya mabukizi. Ila faida ya kunyoa ni unakuwa comfortable kkuperform kuliko ukiwa na msitu unaona ona aibu kwa mwenzi mpya.
  15. N

    Aina kuu tano za ukahaba

    Ni somo zuri sana,ubarikiwe. Ungetoa na,mbinu za kuepukana,na hizo tabia za ukahaba. Mi naona njia pekee ni kumgeukia Mungu ndo mwenye kutuwezesha kushinda ukahaba.
  16. N

    Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

    Mungu tusaidie. Hapo Mungu alikuonyesha ili uombee kizazi hiki
  17. N

    Nimedhalilika sana, mke wa jamaa yangu kaniambia nikalale nyumba ya wageni

    Ni kweli kabisaa nadhani,mtoa mada kwa hapo alikosea pakubwa!!! Zama hizi sio za kufikia kwa mtu, utaishi kwa kukosa uhuru binafsi hata kama ndugu wa karibu, achana nae we vp!!?
  18. N

    Kwa mazingira haya mimba imetoka au ipo?

    Habari wataalamu? Ni hv juzi tu kama siku nne zimepita nilipata kipimo cha upt nikaona vimistari viwili kwamba nina ujauzito baada ya kuona nimepitiliza siku zangu kama wiki hivi, sasa cha ajabu baada ya siku mbili naona naanza kuona damu zikitoka kama kawaida kama mtu asiye na ujauzito, siku...
  19. N

    Nimueleweje huyu mwanamke?

    Teh teh nachekaaa hadi basi kwa vituko vya humu ndani. Awali nikajua ni jamaa yangu ndo ameamua anichomekee humu JF anavyoona ninamzungusha baada ya kusoma vizuri nikagundua sio mimi dodo. Mi jamaa yangu yuko Tanga tuna mwaka wa pili hatujawahi kuonana wla hatujuani usoni ni picha tu za...
Back
Top Bottom