Msiwe na mfadhaiko na propaganda za media. Watu wanashindwa kuelewa kilichotendeka. Obama amekiss mkono wa King wa Saud Arabia. Hilo kwa waarabu ni tradition zao wafalme kubusiwa. Na ieleweke jambo hili halipatikani katika Uislam. Kwa waliopitia vitabu wanaelewa Mtume Muhammad (Rehema na amani...
Fisadi za kimarekani haziishi
Kiboko yao Ahmad Najaat wa Iran amewashtukizia
Si ndo zao, wakiona Taifa strong kama Iran linatisha, hutaka kuanza na uongo ili wavamie kirahisi, hawajui kama Ulimwengu wanajua Iran ni the next Country to invade for America
Marekani wameula huu
Kwani Wakiristo wanayafanya ukhalifu kama huu? Kuwapiga Wanawake na kuwadhalilisha kama hivi? Uislamu umekuja kumgomboa mwanamke. Praise to Allah Almight
Islam is a Code of Life
Spiritual Life
Intellectual Life
Personal Life
Family Life
Social Life
Economical Life
Political Life
International Life
1. Spiritual Life
Islamic prescription: Prayer, fasting, charity giving, pilgrimage, love for God and His Messenger, love for...
Narrated Anas bin Malik:
Two of the companions of the Prophet departed from him on a dark night and were led by two lights like lamps (going in front of them from Allah as a miracle) lighting the way in front of them, and when they parted, each of them was accompanied by one of these lights...
Kwanza tukurekebishe. Hadithi hii umeicopy wapi? Pili unapocopy pia ucopy na kitabu. Waislamu tuna vitabu vingi vya hadithi Mashallah. Wapokezi wa hadithi ni wengi. Na Quran tuliyonayo ni moja tu.
Ama Website ulipoichukua wamefanya kosa kubwa au wewe kwa chuki zako binafsi umefanya makosa...
Umeota nini na wakati gani? tunaweza kuwauliza wanaojua Inshallah. Labda utapata msaada. Elewa tuu kuwa, kuna aina mbili za ndoto. Aina ya kwanza (ambayo ni nzuri na njema) inatokana na Allah na nyengine (ambayo mbaya/mbovu)inatokana na sheitwan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.