Search results

  1. King Kong III

    Tshisekedi hakushinda kura. Alipewa urais na Joseph Kabila

    Mambo yao tuwaachie wenyewe.
  2. King Kong III

    Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

    Kuondoa mikwaruzo hapo kapige rangi kwa mchina.
  3. King Kong III

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Labda kama hauna mkwanja ndiyo utapata kisirani na kutojiamini.
  4. King Kong III

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Msipige sana makofi mikono itauma wananchi.
  5. King Kong III

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Msipige Makofi sana Mikono itauma wananchi ,bado nyingine zinekuja.
  6. King Kong III

    Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

    Akili za Kimasikini hizo ,wafundishe watoo elimu ya kujitegemea na elimu ya biashara kisha wape msingi.
  7. King Kong III

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Mkuu usijitoe ufahamu Yanga unaijua vyema hamna hamna 3G wakikaa vibaya wanakula Default: KONO LA NYANI -5G
  8. King Kong III

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hivi vyakula vya ujumla ujumla pasipo umakini ni hatari sana. Ndiyo maana watu wanakodi catering na kuletwa kikiwa tayari ,haya mambo ya kina mama mwajuma ndala ndefu kuchambua mchele na kupika ndiyo hao wanaweka sumu za mamba na kuteketeza jamii.
  9. King Kong III

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Inasikitisha sana ,dunia tunapita ,tutende mema. Picha ya Mama na Wema Aiseeeee ,Mwanasheria sina ngoja niishie hapa.
  10. King Kong III

    Habari za Kifo cha Magufuli zilivyonifikia nikiwa Gerezani

    Pole Sana ,SUMU YA NYIGU 7x70.
  11. King Kong III

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Weka nyumba ,weka mademu zako wote ,lambalamba hatoboi.
  12. King Kong III

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Terminal illness: An irreversible condition that in the near future will result in death or a state of permanent unconsciousness from which you are unlikely to recover. In most states, a terminal illness is defined as one in which the patient will die “shortly” whether medical treatment is...
  13. King Kong III

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Mimi ni Homosapien. Class: Mammalia Genus: Homo Family: Hominidae
  14. King Kong III

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    "kwa kikosi hichi qmmk weka nyumba ,weka mademu zako wote ,azam hatoboi" - Shabiki
  15. King Kong III

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Makolo ebu semeni mapema kabla mechi haijaanza , vipi na Azam wamenunuliwa? Semeni kabla hawajala 3G.
  16. King Kong III

    Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    Yaani kabisa umeongea ,huu utapeli nakumbuka jamaa yetu alitapeliwa nafikiri ilikuwa 1996 ,ni utapeli wa kizamani sana ,kweli wajinga hawaishi......Pia kulikuwa na utapeli wa kukupa pipi kumbe imewekwa dawa za kulevya....Kuuziwa mche wa sabuni kama simu au kuuziwa mawe kama viatu ni utapeli wa...
Back
Top Bottom