Hapa naona chama kimoja tu kinatiririka, wacha niwatetee wasiokuwepo.
Ukielewa kiswahili vizuri hupati shida.
Nadhani neno "kila" linaitetea mada hii na aliyeileta.
Jamani hata kama tumetumwa kutetea basi sio kila jambo, tusitafute "excuse", kwa hili la msiba wa hawa malaika Rais wetu amekosea...
Ukielewa kiswahili vizuri hupati shida.
Nadhani neno "kila" linaitetea mada hii na aliyeileta.
Jamani hata kama tumetumwa kutetea basi sio kila jambo, tusitafute "excuse", kwa hili la msiba wa hawa malaika Rais wetu amekosea, tumwambie ukweli ni msiba mzito sana, alipaswa kutuongoza...
Mkuu kuna mengi tunayakumbuka, weka ushahidi hapa ili tukuelewe vizuri.
Hatuwezi tu kushirikiana na wewe kumtuhumu Zitto bila facts, au ndio mapenzi ya Avatar yako hiyo nini mkuu:D:D:D
Pamoja na hayo yooote;
Watu anaowateua Rais ina akisi Rais wetu ni wa aina gani.
Safari hii tumepata Rais anayetumia kisawasawa udhaifu wa katiba kwa maslahi yake na si ya nchi.
Tutafakari!!!
Mh..sasa hapa tunazungumzia siku yoyote au 2020? Kichwa cha habari kinazungumzia siku isiyojulikana, content imejikita 2020:(
Anyways, nakubaliana na wewe "hypothetically", japo hujaweka facts zozote kama una uhakika gani hayo hayafanyiki. Au unataka waje hapa kukujibu ujue mbinu zao?
Pia...
Doh! Sijui wapi nimesema Rais wetu mstaafu Kichaaa au nimemtabiria kuwa kichaa, asante kwa kunilisha maneno.
Kilichoandikwa hapo sio utumbo kama unavyotafsiri wewe.
Unaweza kumsoma kwenye twitter yake, bofya hapa:
I am not certain what you were trying to insinuate here. So, mentioning Bashite has made you think I have lost my way? Anyways, it's your opinion, and I respect that.
Mh! It kinda makes sense, doesn't it?
He's been there, he knows how it's like, but I'm not saying that Hon. Kikwete was referring to our country.
However, honestly, what we build now reflects the future of our kids.
What do you think this young generation has learned and continue to learn from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.