Search results

  1. H

    Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

    Ndo maana hata imethibitika ni maigizo tu.
  2. H

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Service haipaswi kuwepo kabisa, for what? Hii ni kitu hatukupaswa kuwa tunajadili humu na kukipotezea muda kwasababu hakikupaswa kuwepo kabisa. Sasa hivi tulipaswa kuwa tunajadili mambo mengine kama tu tungekuwa na viongozi makini na wazalendo. Kimsingi service charge hiyo ijumlishie na muda...
  3. H

    Ujanja ujanja wa Msechu umefika mwisho

    NHC ni wapigaji tu, wamepiga pesa sasa wanataka kuzirudisha kwa kuuza nyumba kwa bei ambayo haipo.
  4. H

    Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

    Nina imani na Magufuli, ninaamini hata haya makampuni ya wanyonya damu hawa kiama chao kimefika kwenye awamu hii. Ni suala la muda tu, tumpatie muda Dr JPJM. Kwani mpaka sasa yote tunayoyaona yanafanyika yeye anasema hajaanza kazi bado, sasa akianza kazi hiyo January kama anavyosema yeye hali...
  5. H

    CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

    Dr. Slaa nd'o mpango mzima. Namuunga mkono Dr. Slaa.
  6. H

    Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!

    Hii ni moja bandiko mbovu kabisa humu iliyoandikwa na huyu nguli wa humu kwasababu ya ujinga tu na ushabiki wa kipuuzi tu. Anayeamua nani awe kiongozi aka rais wa nchi si JK, kilichotokea kwa habari ya wawili hawa si kigeni kutokea kwenye maisha haya. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM mwaka ule...
  7. H

    Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    Inyeshe mvua, liwake jua, hata lango liwe wazi bila mlinda mlango Lowassa haingii ikulu ya Tanzania kamwe. Haitokaa itokee, tunamfahamu Lowassa, huyu na wenzake kadhaa ambao wengine bado yupo nao hata sasa ndiyo mihimili mikuu ya ufisadi nchini, tunamfahamu kwa jinsi alivyohumiza uchumi wa nchi...
  8. H

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Naungana nawe Mwanakijiji, bataelewa tu pale batakapoacha kuwa kama farasi ambaye mwendeshaji/mpandaji wake akipigwa akauwawa basi adui humpanda na kumuendesha, mimi nimegoma, mapenzi ya Lowassa binafsi ya kutaka hayawezi kutafsiriwa kuwa ni mabadiliko.
  9. H

    Slaa amerejea nchini

    Dr. SLAA ana impact jana, leo na kesho.
  10. H

    Watanzania Wangekuwa na Kumbukumbu CHADEMA Wasinge Piga Kampeni

    Kitumbo safi sana mkuu, CDM hii kuipigia kura ni sawa na kuuleta mfumo mwingine hatari sana wa kifisi kuliko huu wa CCM unaojibomokea.
  11. H

    Juu ya utumishi wangu kwenye "Taasisi" ile ninapohakikisha treni la EL linatema abiria wake

    Mzee Mwanakijiji Bataelewa tu, ni suala la muda kidogo tu.
  12. H

    Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

    Siasa ni mchezo wa maslahi, sasa nimemuelewa Juliana Shonza.Kitambo nilikuwa sijamsoma lakini baada ya uhuni aliotufanyia Mbowe juzikati wa kubadilishia gia angani huku mazwazwa wakishangilia nd'o niliona rangi halisi ya mkuu chama letu.
  13. H

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Hapana yangu kwa Lowassa itadumu siku zote za maisha yangu.
  14. H

    Pendekezo: Mjane wa Mtoi agombee kuziba pengo la mumewe

    Mkuu Politiki nikupongeze kwa kufikiria hivyo, nilipata wazo la namna hiyo lakini nika'mute kwasababu nilikuwa sijui uwezo wa mkewe ukoje. Ingefaa sana na kupendeza sana.
  15. H

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Hata ukiwa mahiri wa kujibu marefu yenye tija lakini ukichanganya na jibu moja la ovyo na majibu mengine yote mazuri yanakuwa ya ovyo kwa mtindo uleule wa samaki mmoja akioza... Yaani mtu awe na utajiri wa kutisha ambao hauwezi tolea maelezo yanayojitosheleza unathubutu kumuita mtu ambaye...
  16. H

    Lowassa kushinda Oktoba, Maalim Seif kushinda kwa asilimia 51.9%

    Upunguani umepata tafsiri nyingine hapa. Mleta post kaleta maana nyingine nyepesi hapa.
  17. H

    Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

    Ni njema tu kama katoka salama bila kusumbuliwa kama wale uamsho wa Zenji, manake dah!
  18. H

    CHADEMA asili mje tujadiliane, mliokuja na Lowassa piteni tu

    CHADEMA imejiingiza kwenye hali ngumu ya kujitakia,wanatumia vibaya imani waliyopewa na watanzania, wanawatumia vibaya watanzania ambao kimsingi tayari wameishaichoka CCM sana tu... CCM wakipata watu mahiri kidogo tu wa kampeni tumeumia. Kwani tumejiondoa kwenye mfumo bora kabisa uliokuwa uwe...
  19. H

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Tunahitaji midahalo kama mitatu hivi ya hawa wagombea urais, tena ile ya pamoja.
  20. H

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    TB Joshua hajawahi kumtabiria Lowassa kuwa atakuwa rais wa Tanzania, hajawahi.
Back
Top Bottom