Search results

  1. Gwallo

    Waziri Bashe: Msimu wa 22/23 tulizalisha mahindi tani million 8.1 na mahitaji yetu ni tani million 6, Wizara itaanza kutoa Export Permit Bure!

    Waacheni wakulima wauze mahindi yao wanakotaka bila kufunga mipaka na kufungua....njaa kila mtu ajipigie mahesabu yake....
  2. Gwallo

    Nyumba ya mtoto wa Mbowe yakamatwa tayari kupigwa mnada

    Heka heka za kijani utaitambua tu
  3. Gwallo

    Ni aibu kubwa sana kwa CHADEMA kufanya maandalizi ya maandamano Arusha wakati wananchi na mkoa upo kwenye majonzi na simanzi ya kupoteza wapendwa wao

    Mfano wa Watanzania walio wapuuza CDM ni pamoja na Lucas mwashambwa kutwa nzima anawafuatilia. Kweli Watanzania wameipuuza CDM
  4. Gwallo

    CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

    CHADEMA ikipuuzwa na wananchi si ndiyo shangwe kwenu....tatizo liko wapi
  5. Gwallo

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Mkuu Tate Mkuu umewasilisha jambo kubwa sana pamoja na ChawaWaMama kutokuona unachokilalamikia..... Hiki kikokotoo peke yake ingetosha kuiweka ccm pembeni, walimu wangeamua kutoa elimu mitaani hawa wanyonyaji wasingeendelee kuwaibia wastaafu...
  6. Gwallo

    Viongozi wa CHADEMA kwa Nini hawajathamiwa kanisani Azania Front?

    Ninyi mtu akizimia anaweza kwenda na maji...mko fasta sana
  7. Gwallo

    Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Jivunie kitu kingine duniani ila siyo kuwa mwanachama wa ccm...unajidhalilisha Tlaatlaah ...miaka 63 ya Uhuru nchi bado iko gizani....bora tungeendelea Kuwa chini ya Ukoloni
  8. Gwallo

    Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Kwamba kwa kuwa ni Mwislamu upumbavu unaruhusiwa wewe johnthebaptist vipi
  9. Gwallo

    IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

    Usiwaruhusu wakutoe nje ya mstari
  10. Gwallo

    IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

    Mkuu Ritz habari, naona vijana wanakuvuruga kila wakati na mambo ya Gaza....na wewe una-respond huku umeweka pembeni busara za utu uzima...
  11. Gwallo

    Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

    Mkuu Tlaatlaah labda wakulima wa Dar wanamwuunga mkono mama niambie soko la Mahindi lilipo...
  12. Gwallo

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Mkuu kwenye rejea ya maandiko Namba 6 nimeelewa vizuri zaidi kuliko 1-5
  13. Gwallo

    Kwa maendeleo makubwa aliyoleta Gambo Arusha, Lema atafute Jimbo lingine

    Arusha ipi hiyo mkuu, Gambo ashinde.....mnapima upepo humu ndani....una kasi kubwa sana ni kimbunga cha kuzoa na kutupa kule magamba
  14. Gwallo

    Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hakuna unalolijua na wala si kazi yako kuelekeza nani motoni nani peponi..... !!
  15. Gwallo

    Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuwawa na Hamas

    Daaa Mkuu Nyani Ngabu leo umekuwa na makasiriko sana.... japo inaudhi sana
  16. Gwallo

    Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Mkuu Nifah sasa yule jamaa yetu atapitaje......chini ya katiba hii yenye viraka kila mahali nami nitabaki nyumbani....
  17. Gwallo

    Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Mkuu Msanii hongera kwa kujiweka pembeni na jinamizi la ccm....najua ulikuwa ccm ndaki-ndaki...huu ni muda wa kuikataa ccm kabisa.....japo wapinzani nao hawako tayari
  18. Gwallo

    Wayahudi wanajua kuna Hamas lakini hawawajui ni Nani Ndio wanaishia kubomoa Majengo

    johnthebaptist si rahisi kumgundua mtu aliyejificha katikatika ya wananchi...Hamas wakishaondoa kitambaa ya kijani usoni wanaenda haraka kujichanganya kwa raia
Back
Top Bottom