Jamaa yupo tayari kutoa 4m aujaelewa nn hapo.ihii jf boss watu awapo tayari kurelease namba kiolela kama unavyodhani.wewe kama unakula 4m mpe jibu yeye ampe sister maelezo kesho mfanye bihashara
Asante mkuu swali kumtu sana....kuna mama namfahamu yeye anafanya kazi bagamoyo analala dsm bunju ...gari yake kila siku inakanyaga mileage zaid ya sabini..sasa nahuyu atakapo uza watasema gari ya mama
Amefugisha watu sungura weeeeeee ..akiwaaminisha nyama ya sungura dili,mkojo wa subgura dili watu wamejenga mabanda kwa gharama kubwa na kununua sungura kwa pupa sasa hivi familia zinalazimika kula sungura kwa sababu nje soko alipo ulikuwa ni usanii..alafu ihii kauli ya kusema wanamuunga mkono...
Hofu aliyonayo waziri ilinitokea wakati ninatongoza kwa mara ya kwanza nilikuwa naogopa kupigwa kibuti mwishowe nilipigwa kibuti ..lakin nilizoea maisha yakasonga waziri usiogope kutumbuliwa ni moja ya matukio awamu ihì
Nyie wagen sana hapa jukwaani Pdidy yupo kabla wewe aujaanza kuijua jf.siku hizi ndio atokei mara kwa mara ,kwa ilichapisho amejitahidi sana kuandika hadi ameeleweka ...msipoteze muda kutumia akili kubwa kutaka kuelewa kila chapisho la jf wakati mwingine inaweza kuwa ni ndoto au hadithi ya Pdidy
Msichukulie technologia simple hivyo ......chek profile ya true caller inadetails zote mkuu ....yaan wewe unipe nick name watsap alafu ijiupdate bila ridhaa yangu ....hakuna kitu kama icho.....thread tango pori ihiiii...
Mimi ninaelewa details zinazochukuliwa ni zamuhusika mwenyewe jinsi alivyo ji register katika database ya true caller...ila sio kila phone book ya mtu inavyosoma....wewe ulijaza detail gan katika sever ya true caller ila sio mtu alivyokusave katika simu yake....inamana mimi nikusave j alafu kwa...
Kweli mkuu mimi nina hilux 12r nilitaka kuiuza ninunue pick up ya 2000 lakin nimepiga mahesabu iliniweze kuifikisha bongo single cabin hilux lazima niwe na zaidi ya 18m ilinipate gari mzuri kodi ni zaidi ya 9m...gari zenyewe bei imechangamka kweli huko japan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.