Search results

  1. madatta

    Bernard Membe amfungulia Kesi Cyprian Musiba na Gazeti lake

    plaintiff /ˈpleɪntɪf/ noun LAW a person who brings a case against another in a court of law. "the plaintiff commenced an action for damages
  2. madatta

    MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amewakosoa wenzake wanaowaweka watu mahabusu

    "TBC jana agizo toka kwa Waziri wa Nishati, nguzo zikiletwa site zisimikwe, sio kulazwa chini, na ikifikia leo saa nne, mtu atawekwa ndani"
  3. madatta

    Ziara za Viongozi wa kitaifa mikoani

    Imekuwa kawaida viongozi wa kitaifa wanapotembelea mikoa na wilaya na maeneo mengine nje ya Dar es salaam, hii inakuwa faraja na furaha kwa sisi wa bara. Issue inakuwa, ni kweli viongozi wanahitaji ulinzi na usalama wao, na pia shauku ya sisi wa bara kutaka kuwaona hao viongozi inapitiliza...
  4. madatta

    Katika hili Magufuli uwe DIKTETA

    Hebu mwenye kujua hitima ya hizi scandle mwisho wake ilikuwa nini Minofu ya samaki Mashamba ya Mkonge Richmond Epa Escrow & IPTL Na sasa makinikia ya Acacia mwisho ya hizi zote ilikuwa nini
  5. madatta

    Vyeti vya Kuzaliwa kabla ya Ndoa: Rais Magufuli ALIFUTA agizo la Waziri Mwakyembe

    Wagging the dog. a situation where a small part is controlling the whole of something. ... the tail wagging the dog!
  6. madatta

    Natafuta watu wenye uzoefu na biashara ya mbwa

    Uko wapi boss na una mbwa wangapi waweza tupia picha
  7. madatta

    CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

    Naongea na jamaa hapa kuhusu hali ya maisha, km hali itaendelea katika hali hii sijui mutawaeleza nini wanainchi maana hasira waliyo nao sijui. anywaway hali ya hewa itaamua km jua au mvua
  8. madatta

    Kitabu cha utekelezaji wa ahadi za uchaguzi Ghana

    Uwajibikaji na tekelezaji wa ahadi wakati wa campaign, summary ya ahadi zilizoteolewa wakati wa campaign wa Uchaguzi wa Ghana
  9. madatta

    Taifa Star kufungwa, tatizo ni uwezo mdogo wa kocha?

    Hivi haya matokeo hayawezi kufutwa kama Matokeo ya ZEC!!( Just a Joke)
  10. madatta

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Usukumani kuna goma zinashidanishwa kwa wingi wa watu, pande mbili hushindanishwa na mshindi hutathiminiwa kwa wingi wa watu; ikitokea anayeshidwa ana akili kama ya Mwigulu Nchemba, na uhuni usiofaa, wanarusha mayai viza na kuyavuja kunako hadhara ya anayeelekea kushinda , hapo watu...
  11. madatta

    Hata CHADEMA mafisadi wapo... Unabisha?

    Mpaka hapo utatofautisha maana ya ufisadi
  12. madatta

    Mh. Deo Filikunjombe salute...

    Nimekubali, its the right gear for winning battle
  13. madatta

    Ajali za mabasi Tanzania yazua gumzo Canada!

    Uko sawa kabisa; Kuna rafiki yangu ni dreva wa magari, alikuwa habwii ugoro, kuba, alijiriwa kuendesha mabasi hiyo tabia ikaanzia huko. Anadai asilimia kubwa ya madereva wa mabus hawezi endesha bus bila kuwa n a kileo kichwani wapo wanavuta bangi wanywa gogo kubwia mirungi kuba n.k yeye...
  14. madatta

    Kosa la serikali

    kama mtakumbuka kipindi serikali ilipoamua kuwapa nafasi waajiriwa ya kujipatia kipato,ikatoa siku ya jumamosi kuwa siku ya mapumuziko,na pia kuwahamasisha kufungua biashara dogodogo ili kujiongezea kipato. Walio kuwa chini ya idara ya afya walifungua phamarcy/Dispensary/Hospital na hata...
  15. madatta

    CCM watelekeza mamia ya watu Mwanza waliowachukua vijijini kuwaleta kwenye maadhimisho yao

    Watoto wa mjini waniita kuwa WATALIJUA JIJI,nimeshamkosa mwenyji wangu stand ya mabasi,utawasilimia mpaka Watoto. Anyway ni siku nyingine wawe makini.
  16. madatta

    Tanroad Consultant vehicles

    kweli hali ni mbaya, lakini kama magari ambayo wamepewa wasimamazi/consultants yanatumiwa kwa ajili ya kujipatia kipato kisa serikali haina hela ya kuwalipa hawa wakandarasi. leo nimepakiwa kwenye gari la hao wasimamizi, na dereva akadai hii ni hali ya kawaida asubuhi unajaza mafuta na unabuni...
Back
Top Bottom