Search results

  1. Gideon Anyona

    Dodoma: Rais Magufuli atembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino

    Very impressive from a leader
  2. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Powa chief Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  3. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Umeona kichwa cha habari ya hii taarifa lakini mkuu? Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  4. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Ni wazo zuri lakini ni gharama pia kutoa matangazo kubandika kila sehemu. At the moment tu rasilimali fedha ndogo sana na majukumu ni mengi. Tunawanafunzi wengi yatima , tunawagonjwa na majukumu mengi kwahiyo kila shillingi tunaitumia ipasavyo. Kikubwa lazima watu pia waamke. Uwezi tafuta...
  5. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Ugawaji utaanza wiki ijayo kama ratiba haitabadilishwa. Kikubwa ni mjaribu kuchangakia fursa na kama upo Nzega itakua vizuri sana
  6. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tupo. We uliza swali utajibiwa.
  7. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Napenda kuchukua mapendekezo yenu yote na tutayafanyia kazi kwa ukamilifu Asanteni -Katibu
  8. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Changamoto kubwa ni jinsi gani matangazo haya yanaweza kutunzwa pasipo kuaribiwa kwani uzoefu unaonyesha watu upendelea kuchana matangazo sana
  9. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Picha ya kwanza ni madarasa ambayo yamejengwa Bulunde Secondary kwaajili ya kidato cha 5&6 Picha ya pili vijana wakikopeshwa bodaboda kwa gharama nafuu katika jitiada za Mh Mbunge kukuza sekta ya ajira. Picha ya tatu Mh Mbunge akishiriki zoezi la kuhamisisha kukata Bima ya Afya ambapo bodaboda...
  10. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Taarifa ya mwezi wa tatu hadi mwezi wa Tisa mwaka 2016 juu ya shughuli mbali mbali zinazofanywa mojakwamoja na Ofisi ya Mbunge na Halmashauri ya Mji wa Nzega. __________________ Ni takriban miezi tisa sasa tangu Mh Mbunge Hussein Mohammed Bashe apewe ridhaa na wananchi wa jimbo la Nzega mjini...
  11. Gideon Anyona

    Azania college of management.

    Naombeni link ya website yao kwa mwenye anaejua
  12. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

    Oooh my God poleni sana. Juzi tu bi Asha alikuja kuniaga ofisini kwangu Nzega. Thanks God you guys are alive. I wish you a safe journey back to Dar es salaam for further medical check up
  13. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Lakini pia niongeze tutakua tunatoa taarifa hapa kwenye Jamii forum kwa wale ambao wapo kwenye mitandao. Kwenye Account ya Mh Mbunge pia kuna taarifa.
  14. Gideon Anyona

    TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Mwanazengo kanuni ya Information siku zote huwa inatafutwa. Taarifa ikishawekwa sehemu sahii ni jukumu la mtu ambae anaitaka taarifa ile kuitafuta. Kwa mfano vitabu uandikwa na mtu akitaka taarifa kwenye kitabu huwa anaenda library au bookshop. Hizo ndio sehemu sahii za kupata vitabu. Kwa...
Back
Top Bottom