Search results

  1. rennychiwa

    Naipongeza sana CHADEMA

    Hongera sana CHADEMA, 2015 kitaeleleweka...
  2. rennychiwa

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Naanza kuona mwanga
  3. rennychiwa

    Bashe anataka kumfanya nini Nape?

    Dawa ya nyoka mwenye sumu ni kumuangamiza kabisa, hata akijuvua magamba ataendelea kuwa nyoka tu mwenye madhara
  4. rennychiwa

    Elections 2010 Dr. Willibrod Slaa umefanya kazi kubwa sana bado tunakuitaji

    Sina budi kumpongeza Rais wa CHADEMA Dr. Willbroad Slaa kwa kazi kubwa aliyoifanya pamoja na team yake yote kukiunua chama. Amefanya kazi kubwa sana kuhakikisha chama kinaongeza idadi ya viti vya ubunge kutoka 4 hadi kufikia 22 huku majimbo mawili ya mpanda ambayo ni ngome ya CHADEMA yakiwa...
  5. rennychiwa

    Elections 2010 Uthibitisho wa kikao cha la cairo huu hapa

    CCM inaweza kuwafanya watu wote wajinga kwa wakati mmoja; inaweza kuwafanya baadhi yao wajinga wakati wote, lakini haiwezi kuwafanya watu wote wajinga wakati wote. Naamin mabadiliko huja taratibu lakini mapinduzi huja haraka. Watanzania tupo kwenye safari ya mabadiliko, na huu ni mwanzo mzuri na...
  6. rennychiwa

    Elections 2010 Watanzania tumekula Tunda tukaujua ukweli kwamba tupo Uchi

    Ndugu zangu wanajamiiforum, naomba mnikaribishe rasmi kuwa mwanachama mpya. Nimeamua kujiunga nanyi katika kutoa michango ya kimawazo kwa Taifa letu. Na ninawapongeza sana wale wote walioanzisha tovuti hii. Ni kwa muda mrefu sana tumeishi kwa upofu, bila ya kujitambua na wakati mwingine...
  7. rennychiwa

    Elections 2010 Gazeti linalomilikiwa na mwizi Na. 1 lamtukana Dr Slaa

    Ukiona samaki anatapatapa kutoka nje ujue basi hayo maji yamekuwa ya moto. Ukiwa ndani ya gari CCM ukasalimika basi usirudie tena kupanda hilo gari. Kwani limetembea muda mrefu bila kufanyiwa marekebisho. Hata spare zake hazipatikani tena, linatembea kwa kudra za mwenyezi mungu nje ya balabala...
  8. rennychiwa

    Ninahoji UMAKINI na UADILIFU wa Dr Slaa!!!

    Ndugu yangu imefikia hatua watu wanasema Hapana, hatutaki kudanganywa tena, tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu. Tumechoshwa na propaganda ambazo hazina kichwa wala miguu. Kazi ya green guard unaijua vizuli? Mfumo wa uongozi ndani ya CCM unauelewa? Maisha yao binafsi yaani wana...
  9. rennychiwa

    Elections 2010 Kikwete kufanya mdahalo Ijumaa, aweza kutangaza hali ya hatari Jumapili?

    Kama alivyosema Dr. Slaa kuyumbishwa kwa nchi kamwe hakuwezi kuletwa na chama pinzani siku zote chama kilichoshika dola ndio kinahatarisha amani ya nchi. Ingekuwa busara kama angehutubia taifa kabla ya uchaguzi maana kufanya hivyo kunaweza kuchukuliwa kwa mtazamo tofauti. Naamini maji yamemzidi...
Back
Top Bottom