Katika hali inayoibua hisia za uchonganishi, Mkuu wa wilaya ya Rombo Bwana Elius Palangyo, amewaagiza viongozi na makada wa ccm kuzishusha bendera zote za Chadema zilizoko juu ya miti kila eneo la wilaya ya Rombo, alipo hojiwa kwa nini ametoa agizo hilo akajibu bendera zinatakiwa zitundikwe...
Leo wakati kikwete anaongea na wazee wa ccm mkoa wadodoma amezungumzia mengi na kwa muda mrefu, ila kilichonishangaza na kunichekesha ni pale kikwete alipomaliza kuhutubia, akaitwa balozi wa miaka tisatisatisa lusinde ambae pia ni Mwenyekiti wa wazee vilaza hao wa Dodoma, ndipo TBC ikahamisha...
Jamaa mmoja kwa jina limenitoka kidogo mkazi wa kata ya holili custom wilaya ya rombo ambae asili yake ni kutoka Lindi, ame m baka mmbwa hadi mbwa huyo akafa, jamaa huyo alikutwa na majirani akiwa amevaa condom huku dushe lake likiwa limezama uchini mwa mbwa huyo, akaripotiwa kituo cha holili...
Wananchi wa Rombo Ushiri ngome ya aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba wameizika rasmi CCM kwa vitendo. Wamesema wamechoshwa na chama cha mapanya.
Mrema hajui aliko angukia, ile tu kuhamua kubakia bmk kuliwaudhi sana wana vunjo, kule kupiga kura ya ndio akisema wanavunjo nioneni kuliwakasirisha sana wana vunjo, na tutamuadhibu kwa fimbo ya China na akiendelea kuleta upuuzi wake huku tutamkamata tutupe huko mto ruvu akaliwe na mamba mpuuzi...
wanakuja kutuchonganisha tuanzishe vita vya wenyewe kwa wenyewe wapate soko la silaha watuibie madini na rasilmali nyingine, hasa kwa hili swala la katiba na uchaguzi uchaguzi zilizoko mbele yetu kakitokea kaushabiki Kadogo toka inje tu hapatosha patakuwa kama Syria Egypt na Tunisia.
huu ndio ukweli mchungu mkuu hatutaki washabiki tunataka wapiganaji na kura haipigwi hapa if inapigiwa mtaani hivyo ushindi tuutafute kwanza mitaani tuulete hapa if. kura yangu Yote na familia yangu tutawapa ukawa, na kura yangu nafamilia yangu tutapiga hapana kwa katiba ya chenge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.