Search results

  1. M

    Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa

    Msiba wa wa tz wote rip makamanda wetu !
  2. M

    President Kikwete leads High Level Panel on Global Response to Health Crises in New York

    HE IS CHAIRMAN OF THE PANEL NOT BECAUSE OF BEING FAMOUS BUT HE COMES FROM A COUNTRY HIGHLY AFFECTED BY HEALTH DIFFICULTIES IN THE GLOBE !:crying:
  3. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Mulikuwa wapi zamani sio sasa !
  4. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu .huu ni mpasuko mwingine mungu atusaidie kumtoa nyoka pangoni ccm !
  5. M

    Kutoka Shinyanga: Kampeni za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA uwanja wa Lubaga Joshoni

    Mimi niko lubaga nimeona mafuriko live na mabomu ya machozi jioni ya leo !
  6. M

    Kubenea: Tulifanya Utafiti na kubaini kuwa Dr. Slaa asingeweza kushinda Urais mwaka 2015

    Kama siyo democrasia ya vyama vingi je tungeyafahamu haya ?.mapambano yao ni faida ya wananchi wanyonge basi uamuzi ni wetu sisi wakubwa zao tarehe 25/09/2015 .
  7. M

    Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    Kupigana siyo sawa mwenye haki hatumii nguvu bali hoja na upole tu ,tume ya uchaguzi imeteuliwa na serikali siyo huru !
  8. M

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Lissu apuuzwe dr. Slaa yupo tayari kujibu hoja na wala siyo kurusha topic ati alilala nje, haina uhusiano
  9. M

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Huyu ni mtu mkubwa sana kuondoka katika ccm !
  10. M

    Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mkoani Mara

    Kufa siyo adhabu bora kifungo cha maisha mtu atajutia na kuumia basi na ikome katika nchi yetu adhabu ya kunyonga watu, sio ustaarabu !
  11. M

    NASA's Kepler Mission Discovers Earth's 'Cousin'

    maprofessor wetu ni wa theory tu !
  12. M

    CCM yatangaza kurudia majimbo 5 kura za maoni

    rushwa inanuka hapo !
  13. M

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    Bila baraka za Ikulu mambo hayaendi,waziri mkuu hawezi mambo pekeyake !
  14. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Ccm hawawezi kujivua gamba hawasafishiki mpaka nguo iishe !
  15. M

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    THINGS FALL APART BY CHINUA ACHEBE &ADILI NA NDUGUZE NA SHAABAN ROBERT .Vilinifanya nijue kuishi na watu duniani.
  16. M

    UKAWA jikiteni Viti vya Ubunge na Madiwani achaneni na Ikulu

    Mimi nionavyo kama ukawa watashindwa kuelewana wajue kwamba ni mbinu chafu cha ibilisi kuwagawa ili wezi waliotusumbua miaka mingi waendelee kutawala;kama ilivyo ada ya waingereza ya divide and rule:wagawe uwatawale milele !ambacho ni kitu kibaya saana.hata mwenyezi mungu alitumia mbinu hiyohiyo...
  17. M

    John M. Shibuda ahamia TADEA, awa Katibu Mkuu

    Amechanganyikiwa kama mrema ,shibuda ni mwanaccm anadanganya mchumia tumbo !
Back
Top Bottom