Search results

  1. M

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    Ahsante kwa hii taarifa, vp unaweza kunipatia source ya hii taarifa katika mtandao wa computer, yaani inapatikana katika website address gani?
  2. M

    Elections 2010 Dr slaa anataka hiki............

    Ushahidi upo, nakuunga mkono mtoa mada. Vyombo vya habari vili ripoti hizi janja za hawa wanaong'ang'ania madaraka. kwa hili halina ubishi, na evdence zipo za kutosha, watu wamekamatwa. Kwa mtu yeyote asie na mtindio wa ubongo haihitaji kuwa degree holder kutambua huu mchezo.
  3. M

    Elections 2010 Hivi huko sikonge nani anaelekeaelekea!

    Kwa taarifa za awali nilizopata, sina figure kamili lakini ni kwamba mgombea wa CUF anaongoza kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano mkubwa CCM wakapoteza jimbo
  4. M

    Elections 2010 Matokeo ya awali toka mkoa wa Singida

    habari nilizonazo, Tundu Lissu ameshinda nafasi ya ubunge....though sina data kamili
  5. M

    Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

    God is good all the time, Mungu yu pamooja nasi...CHADEMA oyeee
  6. M

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

    Rahaaaa.....utamu? CHADEMA tunaweza...
  7. M

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Ahsante sana kwa updates, kama utaweza kutupatia data itakuwa imekaa pouwa sana
  8. M

    Elections 2010 With 70% Voters' turnout, Slaa Wins; Less than that Kikwete Wins - My Prediction:

    Guys, wizi wa kura utafanywa kwa njia ya mtandao, this is very possible, ukiangalia kwa makini utatambua ya kuwa hizi website zote zimekuwa hosted katika server moja, how comes server inayo host NEC ina host jkikwete2010.com, Hapa kuna conflicting interests.... ping all the above sites eg ping...
  9. M

    Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

    Binti Maringo, kwa hili unachemka sana, you have to think critically before presenting your ideas, its better to be dead with living ideas than being alive with dead ideas..... You have to understand we are not bogus enough to swallow ur ideas....We are looking for some one who gonna pull us out...
  10. M

    Elections 2010 Alichofanya SITTA jimboni kwake....utata mtupu

    Ukiona jengo lililogharim M500.....full usanii, lets vote for change, we are the change we have been waiting for, lets work up n uproot the SISIEM gang....wadau nipandishe picha za ofisi ya spika? This is more than ufisadi.
  11. M

    Kwanini tuwanyime kura wapinzani oktoba 31?

    Kwa Mtanzania yeyote mwenye akili timamu, mwenye macho na masikio yanayofanya kazi atajiuliza kitu kimoja tu, Je kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita 2005-2010 serikali imefanya jambo gani ambalo ni visible as far as development is concerned? Katika sekta ya elimu, wakati mwl Nyerere...
  12. M

    Elections 2010 Alichofanya SITTA jimboni kwake....utata mtupu

    kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:- Elimu Bora. Miundombinu mfano barabara. Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama Huduma ya maji safi na...
  13. M

    Lawasa akumbukwa sana na SISIMU

    kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:- Elimu Bora. Miundombinu mfano barabara. Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama Huduma ya maji safi na...
Back
Top Bottom