Search results

  1. munduwakaya

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiinimacho na hadaa kwa watanzania, imebainika. Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wa magazeti karibu yote...
  2. munduwakaya

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Vijana wapo mnadani wamemfanya lowwasa mnada wanamnadi mtu mwizi wanalazimisha kila kitu mpaka utafiti wanafoji kweli hawa jamaa kiboko kisa ikulu mpelekeni mzee wenu mwaisela akatibiwe na si magogoni pahala patakatifu.
  3. munduwakaya

    Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Chenge mzee wa vijisenti tunamjua na ufisadi wake yeye na rafiki yake Lowassa hawa waki8ngia wataimaliza tanzania duh kumbe kafuta hadi kwenye escrow itakuwa pesa ya lowassa hiyo
  4. munduwakaya

    Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Salaam, kumekua na maneno mengi ya upotoshwaji kipindi hiki dhidi ya Mh. Pinda,yote yanatokana na hofu ya Lowassa na watu wake, Baraza kuu la umoja wa vijana halijajadili wala kuongelea swala la unaibu kamanda na wala halijafikishwa kwenye baraza kuu la vijana ni upotoshaji na uoga wa watu wa...
  5. munduwakaya

    Elections 2015 Baada ya Pinda kutangaza nia, Membe afunguka

    Tunataka kiongozi mwadirifu hatutaki watu wanaogombea sababu gesi imepatikana .........
  6. munduwakaya

    Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

    Kwa kweli hii haikubaliki tunataka tuone ili tujue udhaifu wa wabunge wetu !! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. munduwakaya

    Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    Bulji hatukutaki umewekwa tu kwanza hatujakuchagua kwenye kura za maoni tulimchagua Omary kimbau tuachie jimbo letu
  8. munduwakaya

    Kombe la kumbukumbu la hayati philip mbogo(mb)

    KAMPUNI ya Active Finance imedhamini ligi ya kumbukumbu ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Mpanda Kati, Mzee Philip Mbogo, kwa kutoa seti za jezi na mipira zenye thamani ya Sh milioni 4,500,000. Akizungumza Dar es Salaam jana wakati akikabidhi jezi na mipira hiyo kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
  9. munduwakaya

    Gazeti la mwana halisi linastahili pongezi!

    SAFI SANA TIMU YA MWANAHALISI HASA KIJANA EZEKIEL KAMWAGA ANATISHA MNO KWA HABARI ZAKE ZA KIUCHUNGUZI !!!!!:clap2:
Back
Top Bottom