Search results

  1. Mnama

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Njaa mbaya sanaaa..... tupambanie tu ugali wetu na familia zetu maana hapa hatuna wabunge.
  2. Mnama

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Magu alivuraga uchumi sana na madhara yake mpaka sasa hayajaisha kuna watu mpaka leo wanaficha hela ndani badala ya kupeleke Benki hawana imani na mfumo. Kuna mazuri alifanya ila mabaya yake tunayakumbuka zaidi maana kuna watu wasio na hatia waliumizwa na matendo yake.
  3. Mnama

    Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Damn... alifanya kosa gani mpaka mke akamwagia hiyo tindikali?
  4. Mnama

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    Katibu Mkuu yuko shahihi kijana atulie achape kazi aache show off za kishamba aka kikolomije...
  5. Mnama

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Malaya fc.....
  6. Mnama

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa yeye hapo anakunja 18m kila mwezi na bado baada ya miaka mitano ana 250m inamsubiri halafu anakuambia baada ya utumishi wa miaka 30 ya kulipwa mshahara wa 1m upewe 40m ni sawa tu.
  7. Mnama

    Msaada: Natakiwa kufanya nini kama mwajiriwa wangu hakuwa akipeleka michango yangu ya NSSF

    Kama alikuwa hapeleki michango ni jukumu la NSSF kumfungulia kesi na kukamata mali zake ili wewe na wengine weweze kulipwa. Ni kosa la NSSF walitakiwa kukagua na kufuatilia michango ila hawatakiri ila wabane wapambane nae wakusaidie kuapata hela zako nshoana kesi tatu za hivi na hela jamaa...
  8. Mnama

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    We ndio huna unachojua kabisa. Hakuna hela inayopita mkononi kwa mtu muda mrefu sana sio Tra wala Bandari zote zinalipwa kwa control number benki. Dpw wanakuja kuendesha bandari tena hiyo Dar tu sio kuja kuwa TRA.
  9. Mnama

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Ila demu ni mshenzi na ana roho ngumu anawezaje kuliwa usiku kucha halafu tena mchana kutwa na lijamaa lingine tena kwenye chumba kile kile alicholipia mwamba.
  10. Mnama

    Kamwe na katu Lema hawezi kupita Ubunge Arusha Mjini chini ya Uongozi wa Makonda

    Alikutapeli gari gani wakati hata baiskeli huna ?
  11. Mnama

    Kwenu watetezi wa ndoa

    Una hoja usikilizwe tafadhali......
  12. Mnama

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Makontena kupita bandarini bure ni issue ya TRA wao ndio wanajukumu la kukadiria na kukusanya kodi wala sio bandari msitake kudanganya watu. TRA ndio wanatoa release ya mizigo so kama ni deal zitandelea kuwepo tu maana DP world hahusiki kwenye swala la kukusanya ya kodi yeye ataendelea kutukamua...
  13. Mnama

    DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

    Million 200 ni makusanyo ya sekunde 0.00001 pale bandarini .................
  14. Mnama

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Umemiss kupigwa na kutukanwa mpaka unalia na kusaga meno au mie sijaelewa?? o_O
  15. Mnama

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Kuna watu mapunguani kweli ukianza na mwanzilishi wa uzi, hao unaowatukana ndio wamekuwezesha hata kuandika hizi sentensi kwenye huu uzi na kukutoa ujinga kichwani kwako. Shida ni serikali imewatelekeza kuliko kada zingine na hawana wa kuwatetea chama chao ni ziro kabisa.
Back
Top Bottom