Search results

  1. K

    Membe kuwania urais 2015...

    kaka huyo ndo tunayehitaji sasa hivi mafisadi wananguvu sana lazima apatikane mrema au paul kagame type akitoa amri saa mbili saa nne imeishatekelezeka tanzania nzima,sio hawa wa kupenda busara,kuunda tume za uchunguzi ili kupoteza muda na pesa
  2. K

    Elections 2010 Jina la ccm lilimaanisha nini?

    badala yake maadui wameongezeka badala ya kupungua,sasa hivi kuna UMASKINI,MARADHI,UJINGA na UFISADI
  3. K

    Ananilea Nkya wa TAMWA na matamko yake

    hivi wewe ni nchi gani unayoijua wewe kipindi cha uchaguzi luteni generali wa jeshi anaamka na kutoa kauli zile?....demokrasia iko wapi maanake tukubari hata tukiona kura zinaibiwa au?...kama nakumbuka vizuri somo langu la uraia shule ya msingi nilifundishwa kwamba kazi ya jeshi la nchi yangu ni...
  4. K

    Fatma Maghimbi huyoooooo!

    Mlekwa siasa ni mchezo mchafu sana tambwe hiza aliishhutubiaga kigamboni kwamba kurudi CCM ni kama kulala na mama yake,sasa hivi yuko CCM ndo mzee wa propaganda, kajilaani mwenyewe!
  5. K

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    that doesnt justify that he is incompetent actually its more of a reason to why he shouldnt lead this country
  6. K

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    honestly speaking if i pick this place to speak against mkapa then it wont be enough, i posses materials that will make you shoot mkapa on the head and feel sorry for Kikwete aisee,hili so sio jungu kaka, i never believed it till i came across the information im having, if you noticed anything...
  7. K

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    tz thank you my brother,this is the only way aisee
  8. K

    Lowassa 'yu hoi' Monduli

    thats the spirit,hawa jamaa mkiwa mnawaogopa ndo wanazidi kujiona Miungu
  9. K

    Ananilea Nkya wa TAMWA na matamko yake

    mi binafsi sipingi research ya synovate na redet,sema nina wasi wasi na sample zako,maana ukichukua sample ya wanachama wa DP tu ni kweli kabisa Mtikila ndo atakuwa Rais, kwahiyo sishangai hata kidogo na hivi vioja!
  10. K

    Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    mimi sipendi kumuhukumu kwamba ni incompetent YET, sema ukiangalia mlolongo wa vijana waliokwisha ingia kwenye hiki chama kama Gulinita,Nchimbi yaani wao ndo wamebadilika badala ya chama
  11. K

    Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    ndugu pole bwana punguza jazba,ile thread haijamlenga January,imemlenga baba ake mzee Yusuph makamba yakhe,jamaa kauliza je mzee yule kujibusti hivyo ni fair kweli?
  12. K

    Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    si afadhali huyu kuliko profesa maji marefu akila uwaziri......mwaka huu sijui mawaziri watatokea wapi maana waliopita viti vya ubunge ni waganga wa jadi na mission town kibao
  13. K

    Hali ya Kiuchumi Nchini ni Mbaya Kuliko Inavyofikiriwa...

    zimeenda kwenye kampeni hizi pesa.....we unanfikiri kutumia helicopter tatu kwa mkupuo ni kitu kirahisi
  14. K

    Elections 2010 JK: Serikali haina uwezo wa kutoa huduma za jamii bure

    hivi ndugu yangu unajua unalolisema kweli?, nchi maskini kivipi mbona sielewi?, yale madini yote ambayo mengine yapo hapa tu jamani bado mnaongea hizi habari za nchi maskini jamani?......umeona report za madini yanayouzwa kweli? ....nchi masikini gani kuna watu wanaiibia mamia ya...
  15. K

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    hapo sasa,tatizo CCM imegeuka ufalme sio chama tena, kila utakachoona kinafaa kukirekebisha chama lazima mfalme (Kamati Kuu) akikubali laasivyo unaambiwa kaa usubiri kwanza
Back
Top Bottom