Search results

  1. WILLIAM MARCONI

    Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

    1. Hilo la Katiba limekaa vibaya kwa sababu njia pekee ambayo Wasaliti wetu watamshangilia ni kushindwa CCM. Njia pekee kumridhisha mtu kama Maria Sarungi ni kuona Rais wa upinzani sijui mbowe sijui tundulissu. It is tails you lose, heads I win. 2. La pili kuhusu Makonda ana known abilities...
  2. WILLIAM MARCONI

    Watamsingizia tena Magufuli? Udiwani washindwa kata zote

    Weee mrongo mkubwa huna uzoefu wowote. Ni Bora kukaa kimya kuliko kuchonga hadisi za Ali Nacha.
  3. WILLIAM MARCONI

    Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

    Kuna tofauti hapa. Tundu Lissu mwenyewe kakiri kuwa msaliti. Alimsikia Magufuli akiwauliza Wanajeshi kuwa wakati mko vitani huwa mnamfanyeje msaliti anayevujisha siri zenu kwa adui? Wakasema they don't deserve to survive, ambayo inaeleweka. Ila (kwa sasa) kwani kuna mtu kasema ole Sendeka anampa...
  4. WILLIAM MARCONI

    Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Nani alikwambia? Tulichosikia sisi ni kuwa Gati 3 za Dar ni mwanzo tu lakini Tanzania ilitaka kuboresha Mtwara na Nansio, itabidi wawaambie DPW ili nao waweze kushitiko kwenye maombi ya kuziendeleza.
  5. WILLIAM MARCONI

    Mnyika, kuunguruma Channel 10, 3/3/2024 usiku atathibitisha maridhiano yamesaidia, CHADEMA inayatambua matokeo ya uchaguzi, na kumtambua Mbunge 1 Tuu!

    Usisahau kumwulizabkwa nini hawajateua Wabunge 19 mbadala? Wapo, na orodhabiponilipitishwa na Kamati Kuu. Sasa wanaifichabkwa vilenilijaa Ndugu zake mbowe kutoka Moshi na wake wa viongozi wa KK wakiwamo walioshinda na walioshindwa kinyang'anyiro kumpata mgombea tindulissu wa 2020 na mabinti wa...
  6. WILLIAM MARCONI

    Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Bwana Paskali Mayala (Magufulu alikuita Njaa) mwenye tatizo ni wewe siyo Rais. Hukumu ya Mahakama ya Rufaa huwezi ukaiita ni ubatili labda uwe na njaa kikwelikweli. Mgombea binafsi inaonekana ni kitu kizuri lakini ni lazima pawe na masharti. Mabilionea wa CHADEMA au Mo au Bill Gates au "Sauti...
  7. WILLIAM MARCONI

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Goba Kisauke vimepiwa mita 400 kutoka lami, kuna umeme, maji na 4G kwa zote

    Bei 25,000 psqm, majadiliano ukishachagua. Ukubwa tafauti 440 hadi 1840, "serious" atatumiwa ramani
  8. WILLIAM MARCONI

    Plot4Sale RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE

    Viwanja vinauzwa Goba Kisauke Plot X mita 400 ndani toka barabara ya lami na kuna maji, umeme na 4G zote. Vimepimwa.
  9. WILLIAM MARCONI

    Elimu Tanzania tunasomea ujinga? Wapi waliendelea kiviwanda kwa kununua ndege badala ya kuwekeza kwenye kilimo na elimu?

    Ulifundishwa wapi, tuition? Walikudanganya. Ulaya walianza na Namba ya 7 waliyoipata Dark Continent na India. Wakati huo Waarabu walikuwa na Vyuo Vikuu vilivyotukuka. Unauliza mali ghafi ya Tanzania, yaani hujui? Tuna maji Ziwa Tanganyika na Mlima Kilimanjaro na almasi za Mwadui. Na korosho, na...
  10. WILLIAM MARCONI

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Wacha longolongo. Sugu alifungwa kwa kutamika maneno ya uchochezi hadharani. Hakuyakanusha.
  11. WILLIAM MARCONI

    Tuwe wakweli, ziara ya Rais Magufuli mikoa ya Iringa na Morogoro ilijaa kauli za kibaguzi na utengano wa kitaifa

    Wewe bwana anza kwa kutoa declaration of interest kuwa mlipeleka maendeleo sehemu moja kwingine kukasahaulika. Inakuuma kujikuta walioachwa nyuma sasa nao wamepata mtetezi.
  12. WILLIAM MARCONI

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Yes, do keeo them. Migune Migune will take care of them for the benefit of Kenyans.
  13. WILLIAM MARCONI

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Uuuuwiiiii: kuna tenda hapa kwa wanasheria nguli. Waliopinga bombardier wakawapa maadui, na wale waliompinga Rais wakisema professorial rubbish, walisema hizi ni kazi za kimataifa MIGA na Swiss Accords. Walaomba tulaaniwe tususiwe ba mataifa kwa kudai haki zetu. Sasa nendeni VODACOM muwatetee...
  14. WILLIAM MARCONI

    Lissu: Ndugu zangu tuwe makini sana na watu wa aina hii. Ni mbwa mwitu waliojivika ngozi za kondoo

    What is this? Who is Wamweya? Who is Muliro? Is this some sort of comedy?
  15. WILLIAM MARCONI

    Viburi hivi ni kwasababu hatuna Tume Huru ya Uchaguzi

    What is tume huru? Huru from what?
  16. WILLIAM MARCONI

    Maaskofu watatu KKKT(Malasusa, Mbedule na Massangwa) watengwa

    Waraka "wa Pasaka" ulitangazwa kwanza na Lema siku 17 kabla ya Pasaka. Ulisheheni yale yale ya CHADEMA - maandamano yasiyo kikomo, katiba ya Warioba - within 24 hours baada ya Mbowe kutoa waraka mtandaoni for the first and only time in his life, kawaida hutolea Ufipa Street.
Back
Top Bottom