hongera sana lucy mungu azidi kukutangulia na umtegeemee mungu kwa kila jambo mfanye mungu kuwa baba na mama utazidi kufanikiwa hatakuacha kama alivyosema sitawaacha ninyi yatima bali atakupatia msaidizi ambaye ni roho mtakatifu wa kukuongoza kwa kila jambo
asante kwaujumbe huu mzuri na shida iko hapo hawamhusishi kikwete katika uhalifu huo wa arusha wakati inaonekana wazi source ni kikwete ambaye ndo mwenye kauli ya mwisho ya kuamrisha uhalifu ufanyike . ameona haitoshi ameamua kurusha matukio hao kwenye televisheni ya taifa kuwafanya wananchi...
jamaani maandamano yanashida gani? wakati ni namna wananchi wanafikisha hoja zao .sasa amani mnayosema iko tanzania iko wapi wakati wananchi tunanyimwa huru? kama ccm ina haki kwa nini haitaki maandamano? hapa ni no retiriti no surrender hadi kieleweke mbona ivory cost ina maraisi wawili bwana
Nampenda zaidi slaan kwa sababu ya uzalendo wake ana uchungu na nchi waanzania wanaoishi maisha ya duni wakati mafisadi wanafurahia maisha na kodi za wanyonge slaa hata kama angekuwa chichiem ningempenda tu.
huo si udini ni uzalendo na akuwaambia waumini wakamchague slaa .kakobe anaelewa wajibu wa kuchagua kiongozi maana hata vitabu vitakatifu vimeandika kuhusu mamlaka hivyo kakobe alitumia uzalendo na anajua kabisa wanachichiem walipanga muda mfupi ili watu washindwe kupiga kura makanisa mengi...
naomba nifafanulie juu ya udini au ukabila wa chadema uko wapi au ni mazingira gani yanayokuonyesha kuwa kuna udini? Au kwa vile dr slaa alikuwa padre.huwezi ukasema kuna udini au ukabila kama wewe si mdini?
Kwali msameheni bure maana hata amri kubwa ya mungu ni upendo na anasema mpende adui yako kama unavyojipenda wewe.na pia anasema unawezaje kusema unampenda yeye wakati ndugu yako unayemuona kwa macho humpendi? Tafakari! Usimchukie mtu chukukia matendo yake na kazi zake mbovu anazofanya then samehe.
thank you very much .dr slaa say one word and the country shall be healed.kama ni kuingia mtaani acha tuingie maana si ccm wala chadema tutaumia wote hakuna kmaendeleo ya kweli ni mpaka afe mtu .
kwa kweli ni heri hata kuacha bunge bila spika au tukaampa sitta miaka hii mitano baadaye tutajua .ila kwa chenge aliyetuibia na baadaye kwa kutamba anasema hela alochukua ya kujenga shule na mahosipitali makubwa kila mtaa ni vijisenti ni dharahau na kutuona sisi wajinga tusiojua hela. na...
haijakaa vizuri hata kidogo huu ni wizi na mungu hapendi wizi na amri yake ya saba inasema usiibe kwanini watu waibe halafu ushauri aliyeibiwa akubali tu kuwa ameibiwa asifanye chochote? dawa ya mwizi jela au anawekewa tairi tunamaliza kazi yake .dr slaa msimamo wako naupenda usiwe kigeugeu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.