Search results

  1. F

    I need to develop a human computer computer interface

    Actually what you want to do in technical terms, it is called, Neural Engineering. To be able to interact with the brain via brain-machine interface (BMI), you have to be conversant, with biology side of the brain (anatomy and physiology of brain structures/circuits) and mathematical side of...
  2. F

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    TBC Taifa - 87.5 FM Dar es Salaam - Listen Online
  3. F

    Kuota ndoto kunasababishwa na nini?

    Mungu, Shetani au Mawazo yako ya mchana kutwa
  4. F

    Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Uongozi ni kuwa na macho na kuwa na miguu. Kabla mtu hajaaminiwa kupewa nafasi kubwa ya uongozi, lazima kwanza u-test macho yake na miguu yake, kwa kumpa nafasi ya chini na ukaona anavyo-perform. Macho ni uwezo wa mtu kuona anapotakiwa kwenda, na miguu ni uwezo wa kumpeleka huko anapotaka...
  5. F

    A God can be a mere theory, nothing more

    Maswali haya aliyouliza mtoa mada ni maswali mazuri. Wengine wanaweza kuona anakufuru. Naomba ni-declare interest kwamba mimi ni mtu wa imani. Kuna makundi mawili ya watu. 1- Watu wanaomwamini Mungu kwa mkumbo: Hawa wao hawajawahi kukutana au kuzungumza na Mungu katika maisha yao. Ama...
  6. F

    Whatsapp calling activation

    Asante mkuu.! kwangu mambo mazuri.!
  7. F

    Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Kuleta huduma ya treni Dar es Salaam ni kujidanganya?
  8. F

    Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Mwambie huyo. Mimi ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika fani niipendayo. Hamna kitu raha kama kuwa kwenye fani uipendayo. Hapa nipo najiandaa kwani fani yangu inataka niwe na Masters. Na baada ya hapo, ninazunguka dunia tu kwani fani yangu ni truly international. Nakumegea tu...
  9. F

    Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Mimi nimemwabia hicho unachomwambia wewe. Kuwa wanaokushauri uende u doctor ni uhakika wa kupata ajira nchini. Nasisitiza nchini. Lakini nimemshauri atofautishe uhakika wa kupata ajira na kuwa na maisha safi. Atofautishe uhakika wa kupata ajira na kufanya unachokipenda.
  10. F

    Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Waliokushauri uwe doctor, najua kwa nini walisema hivyo. Si kwa sababu walichunguza uwezo na haiba yako wakaona unafaa kuwa doctor. Si kwa sababu ukiwa doctor utakuwa na maisha safi sana. Ni kwa sababu ya tatizo la ajira. Kwamba ukiwa doctor una uhakika wa kupata ajira. Tofautisha uhakika wa...
  11. F

    Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Halafu ndugu Nashy mimi mwenyewe nilipokuwa O-level nilipata alama kama zako. Nakumbuka baba yangu alinishauri nije kuwa daktari au mwanasheria. Na watu wengine kila mtu alikuwa anakuja na ushauri wake. Huyu nenda huku, huyu nenda kule. Huyu atakwambia kule kuna dili, mwingine atakwambia huko...
  12. F

    Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Ndugu Nashy kila sehemu watu wanatoka. Je wewe unapenda kuwa nani? Hili ndio swali ambalo inabidi ujiulize na kujichunguza. Ukishajua unataka kuwa nani, basi utajua ukifika chuo ukasomee nini na automatically utajua a-level ukasome combination ipi? Ukweli unao wewe kwani wewe ndio unajua nini...
  13. F

    Je Kampuni gani zinatengeneza electronics products/circuits hapa Tanzania?

    Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi. Nitaenda kujionea mwenyewe kazi wanazofanya.
  14. F

    Je Kampuni gani zinatengeneza electronics products/circuits hapa Tanzania?

    Unajua mkuu Tanzania makampuni mengi yanafanya installation, maintenance and administration of electronics products ambazo zimekuwa designed and manufactured huko majuu. Mimi interest yangu kubwa ipo kwenye design. Ngoja tuone kama watu watajitokeza.
  15. F

    Je Kampuni gani zinatengeneza electronics products/circuits hapa Tanzania?

    Shukrani sana mkuu. Nimejaribu kupitia hayo makampuni naona karibu yote hayatengenezi electronic products, isipokuwa wana import electronic products kutoka majuu na wao wanakuwa wanatoa services za installation and maintenance. Request iko pale pale, kwa anayefahamu makampuni yanayobuni...
Back
Top Bottom