Search results

  1. Mu-sir

    Toyota rav 4 for sale 9 million

    Bado Ipo?
  2. Mu-sir

    Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Umeweka maandiko hapo na yanakuambia kabisa kila mtu na awe ma mke wake mwenyewe na bado unasema huoni. Umeshaandika kila mtu awe na MKE wake mwenyewe sio Wake zake ni mke wake
  3. Mu-sir

    Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

    Mkuu naweza kupata Link ya hii story?? Najaribu kupata authenticity yake kabla sijaipost mahali
  4. Mu-sir

    Gaza:Israel Waua Gaidi La Hamas

    Watch this you might understand something
  5. Mu-sir

    Nauza shamba la migomba

    Hadi maji yapo??? Duuh I wish....
  6. Mu-sir

    Ushauri kuhusu haya mahusiano,tafadhali sema chochote kitanisaidia.

    This is the best matured advise. Chukua ushauri huu mkuu. Nachelea kusema Huyo ni mke wako kabisa. Ondoa mawazo ya kumuacha kwani ukifanya hivyo utajuta maisha yako yote. Kilichokosekana na hapo ni Upendo. Tumeagizwa tuwapende wake zetu. Ukimpenda utarudi hapa na ushuhuda jinsi ambavyo nyumba...
  7. Mu-sir

    Mwalimu afukuzwa kazi baada ya kusema ''FATHER CHRISTMAS HAYUKO''

    Mwalimu amefundisha iliyo kweli ya Biblia. Hakuna kitu kama Santa Claus wala father Christmas ni Dogma za Shetani
  8. Mu-sir

    Mchakato wa Mwl Nyerere kupata daraja la Uenyeheri na hatimae kuwa mtakatifu-KINACHOENDA mpaka hivi sasa.

    Hivi hii michakato mnaipata kwenye Biblia Gani?? Mu vipofu kiasi hiki? Tangu lini mwanadamu akamu approve mwanadamu mwenzie kuwa mtakatifu??
  9. Mu-sir

    Ufunuo wa nyakati za mwisho utimilifu wa dahari na kikomo cha muda

    Mshana Jr Bahati mbaya kabisa hii mada nimeiona late. Lakini hakuna jambo gumu hapo Soma Hapa chini: Ufunuo wa Yohana 10:7 [7]isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowahubiri watumishi wake hao...
  10. Mu-sir

    Huawei Mate 7 ya kichina

    Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana. Au niende wapi nikatatue hili...
  11. Mu-sir

    Kusafirisha Mzigo kwenda Zanzbar

    Wakuu Habari? Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani? Naomba kuwasilisha
  12. Mu-sir

    Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Swali Gani hili unaniuliza??? Yes ni mimi nilisafiri na upande wa Kenya kulikuwa na roadblock moja tu
  13. Mu-sir

    Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Hili huenda lina ukweli. Week kadhaa zilizopita nilipita hapo Namanga kutokea Nairobi aisee upande wa Tanzania kuna Roadblocks sio chini ya nne hiyo yote ni kusaka wakenya tu. Nilishangaa kule Kenya hakuna kitu km hicho.
  14. Mu-sir

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Muheshimiwa Mwigulu Nchemba ninaomba kuuliza. Kama umechukua hatua hizo dhidi ya waliomdhalilisha Nape Nnauye jana. Je wale waliotishia kwa Bunduki wale vijana wa Clouds vipi kuna utaratibu gani wa kulishughulikia hilo. Maana wote ni raia bila ya kuangali status quo. Pia sisi wananchi tulio na...
  15. Mu-sir

    JamiiForums' Person of the Year 2016

    Any reasons behind this vote Hornet?
  16. Mu-sir

    Nimemchoka sana mama yangu

    Welcome na ukisoma naomba u acknowledge
  17. Mu-sir

    Nimemchoka sana mama yangu

    Nimeku PM ndugu Jaribu usome kwa makini it might help something. God bless you
  18. Mu-sir

    Computer4Sale Dell for sale

    Bei haijapungua tu mkuu?
  19. Mu-sir

    Bus gani linalotembea mwendo wa wastani kutoka Dar kwenda Kigoma?

    Lini wakati nimewapanda Jumanne from kigoma to Dar
Back
Top Bottom