Sawa kabsa. hawa wametumwa na serikali na wameandikiwa hiyo taarifa, na wao wamesoma tu.
Nyerere alisema ukiona mtu anajificha kwenye banda la udini, uje amefilisika kisiasa!!!! Need I say more?
Hakuna cha kesi hapa maana atashindwa tu kwa sababu hawezi kabsa kufuta ushahidi wote uliopo. Wala hawazi kufunga Mwananchi ama Citizen maana ni magazeti ya The Aga Khan. Hivyo kwa kuwa anaunganisha na Daima, Sauti ya Watu hapo, haliwezi kufungiwa peke yake.
Kama mlivyosema wengi, hii ni...
Hilo la USA nallikumbuka sana.
Obama said: " I congratulate the people of tanzania for a peaceful election and i am looking forward to working with your President..."
He did NOT congratulate JK. You may google his message.
Hata UK PM did not send a message.
Tatizo kubwa lililopo Serikalini na CCM ni kuwa kuna ombwe (Vacuum) kubwa katika uongozi wa juu. Hivyo wanachama ama mawaziri wameliona hilo, kwa hivyo kila mmoja wao yuko huru kufanya kivyakevyake akijua hakuna litakalomtokea. Wengine wanatafuta umaarufu wa papo kwa papo. Cheap politics!
Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2010 (ya Rais) bado hajaainishwa na NEC katika tuvuti yao miezi miwili tangu uchaguzi uishe. Sababu? Mara mtandao wa computer hauna uwezo, mara sikuku hizi, mara wako likozoni, mara...nk
Huko Malawi iliwachukua siku 9 tu kuweka mambo yote wazi kwa kila mtu...
Thanks for this advance news! Dr Slaa is the unsung hero of Tanzania. One day we will owe it to him when we get out of the woods whether he is around or not. Remember that Tanzanians still remember what the Iraqw people showed to the rest of Tanganyikans when they rejected TWICE TANU's choice of...
No! You need to fill it with sand instead for it to sink. If you pump out all the air, the container will just float away happily, but they may actually die for lack of good air.
Sawa, sasa kama Dr Slaa siyo raisi wa tano wa TZ, sasa inakuwaje JK anatekeleza sera za Chadema?
(Mifano: UDOM, Elimu bure mpaka FIV (CDM walisema FVI), Katiba Mpya nk?)
Sote tunakumbuka jinsi Maalin Seif alivyoshinda Zanzibar na Lyatonga alivyoshinda Dar lakini kwa ruksa ya Nyerere Serikali ya Mzee Mwinji ilichakachua matokeo.
Pia Majaji makini walirule ya kuwa matokeo ya raisi yawe challenged mahakamani lakini serikali ikapeleka mswada harakaharaka bungeni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.